Mwanamke mmoja akisha kuwa na wanaume 4 basi hakosi kupatwa na Maradhi ya Zinaa au ukimwi hicho kitu hakitowezekana kabisa.
Vipi Adam na Eva, walikuwa wangapi? (coz naamin jamaa alikuwa stronger than modern expired guys (husbands) wa siku hizi)
tudhanie Mungu alikosea kumpa mke mmoja?
hebu washika dini yetu hii "tukufu" akina FaizaFoxy na MziziMkavu mtusaidie kidogo
Mimi ni mfariji WA wajane na wale wanaotafuta wapenzi na wale walioachika.....kama Una sifa mojawapo Kati ya hizo njoo kwangu
Hii topic tunahitaji wanawake waje watusaidie kujibu
Mwanaume chips kuku ataweza kumudu mikiki mikiki ya wanawake wa4 kweli?
ole wao walao nyumba za wajane Elli
Duh, Mimi Dini Yangu Hairuhusu Hizo Mambo Labda Wale Wengine