Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 789
Kwanza napenda kusema wewe ni kiongozi mzuri sana na historia itakukumbuka kwamba uliokuwa miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko ya demokrasia ya nchi yetu.... kwa kiengereza nadhani (you are change leader).
Kama walivyo akina Kambona, James Mapalala, Mrema, na hivi karibu Mh. sana Dr. Slaa.
Kuhusu hili la karibuni la uspika, kuna jambo moja napenda kuliweka wazi.
Ikiwa mama Makinda ataweza kuliongoza Bunge kiungozi unatakiwa kupewa credit kwamba ulimsaidia na kum-groom yeye mama Anna kuweza kuwa Spika mzuri...
Lau kama mama akishindwa, ujue kiuongozi sio credit bali ni ishara ya kwamba hukuweza kumsaidia mama huyu naye awe na uwezo, kwa maana waukuwa kiongozi mzuri au you were selffish unless otherwise ututhibitishie kwamba mama hana uwezo yeye mwenyewe.
Hivyo basi akishindwa kulimudu bunge sio credit kwako... hivyo basi ni sharti umsaidie ili kuficha udhaifu wako, kama kweli hukuweza kumsaidia kuweza kuongoza vikao vya Bunge kwa miaka yote mitano uliyokuwa naye.