Elections 2010 Mh. Samuel John SITTA a good leader or?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Kwanza napenda kusema wewe ni kiongozi mzuri sana na historia itakukumbuka kwamba uliokuwa miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko ya demokrasia ya nchi yetu.... kwa kiengereza nadhani (you are change leader).
Kama walivyo akina Kambona, James Mapalala, Mrema, na hivi karibu Mh. sana Dr. Slaa.

Kuhusu hili la karibuni la uspika, kuna jambo moja napenda kuliweka wazi.

Ikiwa mama Makinda ataweza kuliongoza Bunge kiungozi unatakiwa kupewa credit kwamba ulimsaidia na kum-groom yeye mama Anna kuweza kuwa Spika mzuri...

Lau kama mama akishindwa, ujue kiuongozi sio credit bali ni ishara ya kwamba hukuweza kumsaidia mama huyu naye awe na uwezo, kwa maana waukuwa kiongozi mzuri au you were selffish unless otherwise ututhibitishie kwamba mama hana uwezo yeye mwenyewe.

Hivyo basi akishindwa kulimudu bunge sio credit kwako... hivyo basi ni sharti umsaidie ili kuficha udhaifu wako, kama kweli hukuweza kumsaidia kuweza kuongoza vikao vya Bunge kwa miaka yote mitano uliyokuwa naye.
 
Kama mlikuwa na wasiwasi na uwezo wa spika wenu wa sasa kwa nini mlimchagua? Sita usisikilize propaganda za mawazo mgando ya watu kama Kasheshe. Washaona mama kaanza kuchemshwa na kuchemka na wapiganaji kina Tundu Lisu sasa wanatafuta msaada kwa mama yao. Mpambanaji wa ufisadi SITTA puuza ushawishi wao
 
Kwanza napenda kusema wewe ni kiongozi mzuri sana na historia itakukumbuka kwamba uliokuwa miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko ya demokrasia ya nchi yetu.... kwa kiengereza nadhani (you are change leader).
Kama walivyo akina Kambona, James Mapalala, Mrema, na hivi karibu Mh. sana Dr. Slaa.

Kuhusu hili la karibuni la uspika, kuna jambo moja napenda kuliweka wazi.

Ikiwa mama Makinda ataweza kuliongoza Bunge kiungozi unatakiwa kupewa credit kwamba ulimsaidia na kum-groom yeye mama Anna kuweza kuwa Spika mzuri...

Lau kama mama akishindwa, ujue kiuongozi sio credit bali ni ishara ya kwamba hukuweza kumsaidia mama huyu naye awe na uwezo, kwa maana waukuwa kiongozi mzuri au you were selffish unless otherwise ututhibitishie kwamba mama hana uwezo yeye mwenyewe.

Hivyo basi akishindwa kulimudu bunge sio credit kwako... hivyo basi ni sharti umsaidie ili kuficha udhaifu wako, kama kweli hukuweza kumsaidia kuweza kuongoza vikao vya Bunge kwa miaka yote mitano uliyokuwa naye.

shalow, jipange tena!
 
Back
Top Bottom