Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,989
kama unaona wivu, kufa na wewe utangazweWatanzania wamepata Hobby mpya ya kutangaza vifo
Nione WIVU upo Sasa.. Nashangaa munafurahi kutangaza vifokama unaona wivu, kufa na wewe utangazwe
sasa kwanini unachukia watu wakitangaza vifo vya wapendwa wao. kama hutaki kusikia au kuona matangazo kama hayo basi jitoe kwenye mitandao ya kijamiiNione WIVU upo Sasa.. Nashangaa munafurahi kutangaza vifo
sasa kwanini unachukia watu wakitangaza vifo vya wapendwa wao. kama hutaki kusikia au kuona matangazo kama hayo basi jitoe kwenye mitandao ya kijamii
Mkubwa mimi mwenyewe nataka nitangaze kifo cha babu yangu aliyekufa mwaka 1990Watanzania wamepata Hobby mpya ya kutangaza vifo
Kwakweli daahMkubwa mimi mwenyewe nataka nitangaze kifo cha babu yangu aliyekufa mwaka 1990
Na wewe ukifa tutakutangaza tu shaka ondoa una hasira za niniNione WIVU upo Sasa.. Nashangaa munafurahi kutangaza vifo