Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,807
- 11,969
Msiba wa Jaji Mstaafu Rweyemamu uko nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.
Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.
Taarifa Zaidi kuhusiana na msiba huu zitapatikana baadaye.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.