Mh. Rais waache wapinzani wafanye mambo yao,kuwazuia ni kuwajenga

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,056
23,506
Hakika hata sisi tulio wengi wengi ambao tunaziona juhudi kuu za rais wetu Magufuli tunaanza kupata mashaka, kulikoni nguvu kubwa namna hii itumike kuanzia ndani ya bunge mpaka nje ya Bunge kulikoni???

Possibly is a preface of her new book cover, but writtings inside are olds to hell.

Tunaomba waache tena uwalinde katika mikutano yao, kujadili bajeti si dhambi.
 
Hakika hata sisi tulio wengi wengi ambao tunaziona juhudi kuu za rais wetu magufuli tunaanza kupata mashaka,kulikoni nguvu kubwa namna hii itumike kuanzia ndani ya Bunge mpaka nje ya Bunge kulikoni???,possibly is a preface of your new book cover, but writtings inside are olds to hell.
Tunaomba waache tena uwalinde katika mikutano yao,kujadili bajeti si dhambi.

Waambie hao unawaoita Wapinzani wakaandamane Moshi kwao kwanza kabla kuja kwa watu wengine, huko ndiyo wakafunge maduka kwanza ili watu wasifanye biashara na siyo kuja kuharibu Miji yetu kama Kahama, Mwanza, Mbeya, Arusha wkt kwenu Moshi hamgusi na mnaendelea na kufanya biashara ...
 
history matters,mkapa alipojaribu kuizuia cuf kwa nguvu kuu 2001,ndipo alipoijenga ikawa imara kweli-kweli.
we believe in you Mr president / wapinzani watajisumbukia wee mwishowe watakaa chini./ they shouldn't bother you Mr.president,
 
Aliye na afya hahitaji Tabibu.Mpshi walishajikomboa,Uliza wana wabunge wangapi wa Upinzani? Ndo utajua maana ya mwenye afya hahitaji tabibu
 
Mkurupuko government! lazima awe na hofu, na bado miaka 5 mingi! anaimarisha upinzani huyo njia nyeupe 2020 kwa wapinzani.
 
Nimesema mwanzo kama yeye anadhani atawanyamazisha kwa kutumia nguvu ya dola basi anajidanganya sana,kwa sababu muda unakwenda na siku zinakimbia ,miaka inakwenda kufumba na kufumbua atakuja kustuka watu tuko kwenye foleni tunakwenda kupiga kura wakati huo atakuwa hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kupoteza muda wake kuwaandama wapinzani wake badala ya kuleta maendeleo,
angewaacha wafanye mikutano yao na yeye angeendelea na kujenga nchi mwisho wa yote watanzania ndio wataaamua nani anafaa,
 
Anawajenga na kuwafanya wananchi wawatamke kila wakati,wananchi wamezoea kuwaona wanafanya siasa kisha wanaagana kwa amani na kuendelea na mikutano yao....hata kwa polisi walishazoea kulinda usalama kwa kushirikiana na walinzi wa chama.....sasa serikali imewaambia wapinzani waamke waanze Kazi kwa makali yote,nguvu zote,na raslimali zote,vijijini kwa mijini
 
Nilisema hapa katika uzi wangu mmoja wa leo kuwa sisi wote ni watanzania na nikakumbusha usemi unaosema "damu ni nzito kuliko maji."
 
Mkurupuko government! lazima awe na hofu, na bado miaka 5 mingi! anaimarisha upinzani huyo njia nyeupe 2020 kwa wapinzani.
***
Rais wetu ni mtendaji zaidi ajikite katika kufanya mambo kiualisia zaidi,sisi watanzania tuna macho tunaona kwa macho matatu./
 
Kimsingi....mikutano ya siasa sio kero kwa watanzania....watanzania kwa miaka zaidi ya ishirini wamezoea kuwaona wanasiasa wakitangaza mikutano,wanapanda jukwaani,wanawasikiliza,kisha wanaondoka,nashangaa kipindi hiki,na watanzania wana akili,sio wajinga
 
Hakika hata sisi tulio wengi wengi ambao tunaziona juhudi kuu za rais wetu Magufuli tunaanza kupata mashaka, kulikoni nguvu kubwa namna hii itumike kuanzia ndani ya bunge mpaka nje ya Bunge kulikoni???

Possibly is a preface of your new book cover, but writtings inside are olds to hell.

Tunaomba waache tena uwalinde katika mikutano yao, kujadili bajeti si dhambi.
Kosa lako wews na la watanzania wengine wengi ni kuchelewa kupata mashaka.
 
Nilisema hapa katika uzi wangu mmoja wa leo kuwa sisi wote ni watanzania na nikakumbusha usemi unaosema "damu ni nzito kuliko maji."
Kweli kabisa....kwenye harusi tunakaa wote na tena tunapiga stori za siasa,kwenye misiba hivyo hivyo,kwenye viwanja vya siasa wanapohutubia wanakwenda wote wanarudi wote, watanzania ni wamoja sana hasa wanapoonewa
 
Waambie hao unawaoita Wapinzani wakaandamane Moshi kwao kwanza kabla kuja kwa watu wengine, huko ndiyo wakafunge maduka kwanza ili watu wasifanye biashara na siyo kuja kuharibu Miji yetu kama Kahama, Mwanza, Mbeya, Arusha wkt kwenu Moshi hamgusi na mnaendelea na kufanya biashara ...
Akili ya mtu hijulikana kwenye maongezi, maandishi na matendo...
 
history matters,mkapa alipojaribu kuizuia cuf kwa nguvu kuu 2001,ndipo alipoijenga ikawa imara kweli-kweli.
we believe in you Mr president / wapinzani watajisumbukia wee mwishowe watakaa chini./ they shouldn't bother you Mr.president,
Mimi najiuliza hivi Marais wastaafu wote hawa kwanini hawamshauri Rais Magufuli kuwa sasa anakwenda kwenye extremes? au wao hawaoni kuwa tunakoelekea ni kubaya? kiukweli kabisa watanzania hatutakubali kurudishwa nyuma na kuiacha Nchi inaendeshwa bila kuzingatia kanuni, sheria na taratibu kama zilivyo ainishwa na katiba ya JMT. Mapendekezo yangu kwa chama cha mapinduzi ni kwamba wasimame imara na kamwe wasikubali kumwachia uongozi wa chama, itakuwa bora zaidi iwapo mwanachama mwingine yeyote awe Mwenyekiti kuliko huyu anaye tamba kuwa usiye mtaka kaja! Kama miezi sita tu Katiba ya Nchi ameiweka pembeni, itakuwaje akipewa na uenyekiti wa chama chenu? Tafakarini mara mbili kisha tangulizeni hekima na manufaa ya Nchi.
 
Back
Top Bottom