Mh Rais umenishtua!

Mh Rais umenishtua!

Yaani walipoalikwa wamarekani haikuwa kitu, lakini waturuki imekuwa kelele (ukoloni wa kiarabu).Mie nadhani mkuu ungetueleza kiundani zaidi kinachokusumbua.

Ninavyojua mie kilimo chetu ni cha kijima mno, sio mbaya kuachia watu wengine kuja kuekeza.After all ardhi ipo ya kumwaga!
 
Mkuu JASUSI yani tanzania tumeshindwa kutengeneza ndege ,magari, computers tushindwe hata kulima? Hii serikali ya magamba haina vision ,wakulima wazawa inabidi wapewe mitaji . Haya mawazo ya kizamani ya kusema mzungu atakuja kuendeleza nchi yetu inabidi tuyafute .kikwete ni janga la kitaifa
Sasa angalia yanayotokea Cameroon. Hayo hayo ndiyo CCM inataka kutuletea Tanzania:
[h=1]Who Owns the Land? Cameroon’s Large-Scale Land-Grabs by Foreigners[/h] April 16, 2013 | Filed under: Africa | Posted by: Editorial_Staff

11
African land is being bought up by foreigners at a record pace

AFRICANGLOBE – As part of a trend that is accelerating across Africa, thousands of Cameroonians have been displaced from their homelands to make way for large-scale agribusiness projects.
Inhabitants of Adjap, a largely deprived hamlet nestled deep in the heart of the tropical rainforests of southern Cameroon are living life on the margins. Over the years, its roughly 2,000 denizens have watched their ancestral forest lands continually annexed by the government and ceded to foreign agribusinesses and logging companies.
“Our ancestors settled here in 1903. We considered the land ours until 1947 when the colonial government suddenly seized it as private state property, arresting anyone cutting down trees for firewood or to build”, explains Adjap chief, Marcellin Biang.
Alongside thousands of neighbours in 17 adjacent villages, the people of Adjap have eventually been squeezed into a 14,000-hectare strip of land – less than a third of the near 50,000-hectare expanse they controlled under pre-colonial customary jurisprudence. They complain that the steady erosion of their tenure rights is having a disastrous impact on livelihoods.
In Akom I, chieftain Luther Abessolo says his subjects are increasingly lazy as a result of the prevailing tenure insecurity. “We live in utter uncertainty because the government can decide to seize our land at short notice anytime. Our people lack motivation to cultivate the land”, he says.
Similarly affected are some 32 aboriginal Bagyieli. They’ve been dislodged from their traditional forest environs and constrained to survive as misfits in unfamiliar village settings. “Before, we led normal lives, hunting and gathering medicinal plants for a living. But logging companies and agro-industries have destroyed the forests”, says a Batwa community head, Martin Mba.
Yet despite their despair, these groups are comparably lucky. Initially, the government appropriated all their lands for use by foreign investors. But three years of pressure from 2006, masterminded by local NGO Cameroon Ecology (CAMECO), resulted in the government backpedalling and retroceding a portion of land over which the Bagyieli now have some limited rights.
Less fortunate, however, are some 14,000 villagers in Cameroon’s southwest whose existence – as well as that of numerous endangered floral and faunal species – is under threat. US-owned agribusiness,Herakles Farms, is razing some 73,000 hectares of dense natural forests for a $600 million oil palm plantation despite local objections.
Some locals have been arrested for protesting. Herakles officials say that the company has legitimately leased the land for 99 years, but Greenpeace insisted in February that the meagre 50 cents per acre per year rent to the government, the absence of a presidential decree authenticating the concession, pending lawsuits, and flawed environmental impact assessments, among other things, call the investment into question.
This is snapshot of battles being fought out across much of Cameroon. Hostilities have frequently erupted elsewhere between nationals and foreign firms, including Chinese agribusinesses growing rice, maize and cassava exclusively for their home markets.
Findings from research released in March by Rights and Resources Initiative (RRI) indicate that over 10 million of Cameroon’s estimated 22 million hectares of forest lands have already been committed to various concessions, and that some $18 billion has been pipelined for investment in the agribusiness, forestry, mining and infrastructure sectors in Cameroon.
From Periphery to Priority
Large-scale land acquisitions by foreign governments and investors – a phenomenon termed “land-grabbing” by activists – peaked following the 2008 global food price spikes. Governments and venture capitalists from the Gulf States, Asian tiger economies, EU and US rushed to acquire large terrains in developing countries to grow and secure food supplies for their populations and biofuels for expanding markets.
But the practice has been increasing for at least a decade. The Land Matrix Partnership estimates that 227 million hectares of land have been ‘grabbed’ worldwide since 2001. And according to the World Bank, 70% of the current demand for forest and arable land is concentrated in Africa, with its vast parcels of “cheap” and “unoccupied” terrains. Liberia, for example, has reportedly sold off three-tenths of its territory in five years.
“Once seen as marginal, this issue has emerged as one of the development priorities of our different governments”, Cameroon’s Forestry and Wildlife Minister, said Philip Ngole Ngwese.
Indeed, across West and Central Africa, an escalating number of poverty-stricken men, women and children in rural areas are being chased off ancestral lands they have relied on for generations for farming, grazing and hunting. They are increasingly squatters and low-paid labourers for the incoming foreign investors and local elites.
“When the government takes this land and gives it out in a lease for 40, 50 or up to 99 years, the people often lose access to these commons resources”, Michael Richards, Natural Resources Economist with the UK-based Forest Trends, notes.
“In some cases, they do allow access for the extraction of certain products. But in other cases, they put great fences which stop communities having access.” Land grabbers also usually obtain unlimited rights to water use, Richards adds, implying curtailed availability for downstream users.
http://www.africanglobe.net/africa/owns-land-cameroons-large-scale-land-grabs-foreigners/2/
 
namnukuu,bw,khamisi swedi kagasheki,,,,,,hardhi,,,yote tanzania,ni mali ya bwana mkubwa,rais,hakuna mtanzania yoyote mwenye hati miliki ya hardhi,kuwa mali yake isipokua umilikiswa kwa miaka,36,99,mwisho wa kumnukuu,,sasa kwa maneno haya na kwa katiba hii ya sasa inampa rais dilitu za kutuuza kila anapotaka,wewe huoni anavyo safiri na kaulimbiu yake ni kwenda kutafuta wawekezaji,wanaokuja kupewa maekari ya mashamba,alafu watanzania wanatolewa kama wakimbizi juu ya hardhi yao,watanzania wenzangu tuamke nchi inauzwa kwa kasi ya fasti jet,,,lakwanza ni kupigania hakizetu zinazotaka kuporwa na ccm kwenye mchakato wa katiba,ya sasa,na kuakikisha rais anakua mtumishi na sio mungu mtu,mimi katika maisha yangu sijaona wazungu waki omba omba,misaada kama matonya,na nchi zao hazina utajiri wa rasilimali kama africa,ebu tujiulize wa tanzania tumelogwa na nani,nchi tajiri kama tanzania,bado viongozi wanabeba mabakuli,nchi za nje na kuomba omba kama matonya,haya gesi imeshapatikana,hata wazungu wanatucheka sana kila siku utasikia wawekezaji wawekezaji,uhu ni ujinga wa kufikiriatu kwa serikali ya ccm,
Kwa hili la ardhi inayotumika kuwamali ya Taifa,sikubaliani kabisa. Mimi nashauri katiba itamke wazi kuwaardhi yote inayotumiwa na wazawa kwa sasani mali yao, ila ardhi ambayo haitumiki ndiyo mali ya Taifa.Hili liwekwe katika katiba ili kupunguza kero kubwa ya Watz kuwa kama wakimbizi katika nchi yao
 
Nishituke nini? Sina cha kushituka coz' kama kushituka, nishashtuka sana nakushangaa wewe unaeshituka leo!!! By the way, nami sina shaka kwamba kilimo chetu hakiwezi kukuzwa na wageni lakini nitakuwa mwehu nikiukana ukweli kwamba hata sisi wenyewe tumeshindwa kukikuza! Ninaposema sisi wenyewe, simaanishi serikali; bali mimi na wewe! Kiasi cha miaka miwili iliyopita nilileta mada hapa JF, kwamba hivi kweli Tanzania tuna ardhi ya kutosha au hatuna akili za kutosha!!?? Nikawaomba wana-JF kila mmoja anitajie ana ekari ngapi za ardhi alizozipata yeye mwenyewe(yaani sio mashamba ya kurithi) kwa juhudi zake!! Niliuliza hivyo huku nikiamini kwamba kupata ardhi Tanzania hakuhitaji mtu kuwa tajiri!!! Na concern yangu hapa ilikuwa kwamba, angalau kila Mtanzania angekuwa na ekari mbili za ardhi, basi suala la kwamba tuna ardhi ya kutosha lisingekuwepo lakini linakuwepo kwavile naamini hatuna akili za kutosha za kuitumia ardhi iliyopo!! Ndugu yangu, wewe una ardhi ekari ngapi?!

Nikusahishe kuwa kilimo sio anybody's business...ni kutokana na mawazo kama ulionayo wewe ndio maana hatutakaa tufanikiwe kwenye kilimo..kwa maana nyingine wazo lako la kuwa nchi itatoka kwa upande kwa kilimo kwa kila mtu kuwa na vijiheka viwili ni misconception. Kilimo ni profession kama zilivyo profession zingine..siku tukilitambua hilo tutawekeza kama inavyopasa.
 
Nikusahishe kuwa kilimo sio anybody's business...ni kutokana na mawazo kama ulionayo wewe ndio maana hatutakaa tufanikiwe kwenye kilimo..kwa maana nyingine wazo lako la kuwa nchi itatoka kwa upande kwa kilimo kwa kila mtu kuwa na vijiheka viwili ni misconception. Kilimo ni profession kama zilivyo profession zingine..siku tukilitambua hilo tutawekeza kama inavyopasa.
Jaribu kuelewa hoja kwa mapana yake...issue hapa si kwamba kila mmoja kuwa mkulima, issue ni namna gani kwamba sisi wenyewe Watanzania tusivyo tayari kwa kilimo!! Huo mfano wa ekari mbili ni kukuonesha ni namna gani Watanzania kwa ujumla wetu tusivyo tayari kwa kilimo na ndio maana no body cares hata hilo suala la kuwa na ardhi!
 
kilimokwanza kiko kwenye siasa wenzio wanatenga fedha za kampeni kwa mgongo wa kilimokwanza na vitafunwa mwaka 2015 waulize wataaramu wa kilimo kama wanakubaliana na sela hiyo
 
Sio wewe tu jasusi dingiswayo unayemshangaa mh rais kwa uamuzi huu na maamuzi mengine mengi aina hii.sidhani kama kuna mtanzania mwenye fahamu atakubaliana naye.tuna chuo kinaitwa sokoine university of agriculture alichotujengea mwalimu nyerere.hapa tuna maprofesa na madaktari wa kilimo.wanatumikaje?ninachojua wengi wa hawa wasomi wamekimbia nchi.tunachotakiwa ni kuwekeza tu kwenye matrekta.baasi,kama wasomi tunao,ardhi,maji na matrekta kwa nini tushindwe kulima?kama kuna watu watakaosoma hapa ambao wana contact na mh jk nawaomba wamshauri aachane na mpango huu.ni aibu.hatuhitaji uwekezaji kwenye kilimo.nina uhakika chadema wataitumia hii kuzidi kuinyanyasa ccm.chadema wakiingia madarakani hawatafanya maamuzi kama haya.
 
Yaani walipoalikwa wamarekani haikuwa kitu, lakini waturuki imekuwa kelele (ukoloni wa kiarabu).Mie nadhani mkuu ungetueleza kiundani zaidi kinachokusumbua.

Ninavyojua mie kilimo chetu ni cha kijima mno, sio mbaya kuachia watu wengine kuja kuekeza.After all ardhi ipo ya kumwaga!

Kilimo cha kijima! mzima wewe? wizara kilimo chakula na ushirika inafanya nini,miaka hamsini sasa bado tunalima kijima na serikali na wizara ipo,ardhi safi ipo! unataka kutatua tatizo hili kwa kuwaita wawekezaji? unajua peasant wa kahawa,koroho,pamba,mahindi na mchele anavyohangaika. juzi umeingia mchele kutoka nchi za mbali unauzwa bei ya chee,umeongea na mkulima wa mpunga wa dakawa anaathirika kiasi gani sera hizi mbovu za utandawizi na soko holele alivyoathirika shame one you,serikali imeshindwa kuendeleza nyanja zote za kiuchumi na kulikwamua taifa hapa tulipo,narudia serikali hii ya ccm imeshindwa na haiwezi tena,ndo wamefika mwisho,binafsi siwahitaji kivyovyote vile,na sitegemei miujiza
 
Back
Top Bottom