Mh. Rais tunaweza kujivunia maendeleo gani ya watu awamu ya tano?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,242
Mh, kuna mahali tunakosea. Mh, tafakari unaweza kusimama kidete wapi ukajivunia maendeleo ya watu tangu uingie madarakani? Nyerere alisema maendeleo ni watu!
Waangalie watu wako, kwa ujumla wao, nani ana unafuu tangu uingie madarakani?
KUNA MAHALI TUNAKOSEA! NI WAPI, SIKILIZ\A WAPINZANI NA WOTE UTAPAJUA. CCM HAWATAKWAMBIA UKWELI, WANAOGOPA UTAWATUMBUA!
 
Serikali ya awamu ya 5 completely imefeli mpaka hivi sasa..

Kipi cha maendeleo cha kuonyesha ambacho kina direct impact kwenye relief ( unafuu) wa maisha ya Mtanzania ambacho serikali itasema imekifanya??Nothing.. Hakuna.

Bajeti ya Maendeleo ya 2016/17 ilikuwa 11Trillion. Zimetolewa 3Trillion.. AIBU.

Yale ma figure yote tuliyokuwa tunapewa kama mapato ya TRA ni uongo mtupu.

Kazi ni hotuba za chuki na visasi huku mtoa hotuba akiwa na hasira kama mkizi aliyejeruhiwa.

Kutoka kuinyoosha Nchi hadi Nchi kumnyoosha yeye.
 
Trillioni 8 zimepelekwa chato.
 
Maendeleo yap unataka wakat mkulu ndo kazindua mwendokasi, daraja la nyerere na kiwanda cha dangote

Akili yang naijua mwenyew
.
.
.
Kyenekyaka nkighanile une
 
Wapinzani wapi hao,,wanaosema leo mchanga unamadini kesho ukikamata wanakulalamikia kwa nn umekamata? Waounzani wapi hao wenye ndimi mbilimbili kama mbilimbi?? Tunaweza kua tunasehem tunakosea kweli lakin ni jukumu letu sisi kumwambia tunapokosea maana wapinzani wamekua ndumilakuwili
 
Mh, kuna mahali tunakosea. Mh, tafakari unaweza kusimama kidete wapi ukajivunia maendeleo ya watu tangu uingie madarakani? Nyerere alisema maendeleo ni watu!
Waangalie watu wako, kwa ujumla wao, nani ana unafuu tangu uingie madarakani?
KUNA MAHALI TUNAKOSEA! NI WAPI, SIKILIZ\A WAPINZANI NA WOTE UTAPAJUA. CCM HAWATAKWAMBIA UKWELI, WANAOGOPA UTAWATUMBUA!

Tunajivunia kwa sasa kujuwa wachapa kazi ni akina nani. Sasa tunaelewa wezi wa mali za umma ni akina nani na wale wanye kutumia hovyo fedha za madawa ya kulevya ni akina nani.

Magufuli endelea kufata ilani ya CCM mpaka kieleweke.

Ukweli ni upi zaidi ya huo?
 
Umeulizwa tujisifie kwa lipi chini ya utawala huu ww unaleta habari za ngedere ina maana swali ujaelewa au ndio kujitoa ufahamu
 
Mh, kuna mahali tunakosea. Mh, tafakari unaweza kusimama kidete wapi ukajivunia maendeleo ya watu tangu uingie madarakani? Nyerere alisema maendeleo ni watu!
Waangalie watu wako, kwa ujumla wao, nani ana unafuu tangu uingie madarakani?
KUNA MAHALI TUNAKOSEA! NI WAPI, SIKILIZ\A WAPINZANI NA WOTE UTAPAJUA. CCM HAWATAKWAMBIA UKWELI, WANAOGOPA UTAWATUMBUA!

Madaraja na vivuko huvioni.... ndio maendeleo kwa watu. Wangekuwa wanapita chini barabarani mf. buguruni au ubungo au moroco wanapita juu kwa juu wangepita chini ajali na vifo vingekuwa vingi. Ila napita tu japo na njaa kweli na mfukoni sina kitu mzunguko wa bizinesi mmmmhhh yataka moyo.
 
Tafuta lumpeni wenzako................... I need philosophical arguments not mechanical ones!
Tena wewe ni Nshomile, unawatia aibu wahaya, huwa hawana ujinga kichwani! They are smart upstairs!
 
Kanufaika jamaa kutoka koromije mpaka sasa anadunda na cheti feki
Pesa yote ambayo magufuli alikuwa kaikusanya kwa gia ya kubana matumizi badala ya kufanya maendeleo na kuboresha mishahara ya wafanyakazi wa umma pia kujenga viwanda na mengineyo ya msingi, inashangaza pesa zote zinatumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa kwa mfano pesa nyingi zinatumika kuilinda Zanzibar baada ya kumpora ushindi Seif Hamadi huku Lipumba akilipwa pesa nyingi kwa ajili ya kuwakoroga wapinzani, na sasa inatumika pesa nyingi kumlinda Daud Albert bashite kujenga majengo na uwanja wa ndege chato.
 
Wapinzani wapi hao,,wanaosema leo mchanga unamadini kesho ukikamata wanakulalamikia kwa nn umekamata? Waounzani wapi hao wenye ndimi mbilimbili kama mbilimbi?? Tunaweza kua tunasehem tunakosea kweli lakin ni jukumu letu sisi kumwambia tunapokosea maana wapinzani wamekua ndumilakuwili
Yaani ni kumyumbisha mpaka aseme po.
 
Madaraja na vivuko huvioni.... ndio maendeleo kwa watu. Wangekuwa wanapita chini barabarani mf. buguruni au ubungo au moroco wanapita juu kwa juu wangepita chini ajali na vifo vingekuwa vingi. Ila napita tu japo na njaa kweli na mfukoni sina kitu mzunguko wa bizinesi mmmmhhh yataka moyo.
Ludia kusoma ulichokiandika kisha jitafakari kwanza nadhani hukukisoma kabla ya kutuma
 
Wapinzani wapi hao,,wanaosema leo mchanga unamadini kesho ukikamata wanakulalamikia kwa nn umekamata? Waounzani wapi hao wenye ndimi mbilimbili kama mbilimbi?? Tunaweza kua tunasehem tunakosea kweli lakin ni jukumu letu sisi kumwambia tunapokosea maana wapinzani wamekua ndumilakuwili
Wapinzani wapo makini huo mchanga Kikwete na mkapa walitia sahihi mikataba ya kubeba michanga na wapinzani walipinga Bungeni lakini mliwapuuza mkatia sahihi, leo hii mnakurupuka kukamata michanga kienyeji wakati wenye michanga wana mikataba na wakienda mahahakamani watalipwa fidia kubwa sana kama meli ya Samaki na kituo cha mafuta mwanza, Wapinzani wameona mbali hawawezi kukubali kuunga mkono ukurupukaji wa michanga wakati wanajua Taifa linaenda kupata hasara kwa kukiuka mikataba ya ccm ambayo wamiliki wataitumia kudai fidia.
 
Back
Top Bottom