Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Hizi ni dalili nzuri kua mada imeeleweka vyema!
Imeeleweka na nani? Maana nina hakika uliyemwandikia hajaelewa. Angeelewa angeheshimu utawala wa sheria!
Hizi ni dalili nzuri kua mada imeeleweka vyema!
Namwona Magufuli kama nafasi ya kipekee kabisa kwa nchi hii kusikia hatua flani ya maendeleo!Imeeleweka na nani? Maana nina hakika uliyemwandikia hajaelewa. Angeelewa angeheshimu utawala wa sheria!
Mkuu dawa hapa ni Katiba tena siyo hii ya Warioba yenye Waziri mwandamizi na makamu wawili wa Rais, tunataka mpya kabisa.
Namwona Magufuli kama nafasi ya kipekee kabisa kwa nchi hii kusikia hatua flani ya maendeleo!
Kwa mtu wa caliber yake, akisimamia haya, hakika nakuambia tunavuka kama Taifa!
Mkuu Babati, moja shika, sii kumi nenda rudi!. Fimbo iliyo mkononi ndio iuwayo nyoka! . Katiba tayari tunayo hii ya 1977 na Katiba pendekezwa inayosubiri kura ya maoni kuipitisha. Hatuwezi kuanza na kitu kipya hadi kwanza tukikamilishe hiki kilichopo mkononi! .Mkuu dawa hapa ni Katiba tena siyo hii ya Warioba yenye Waziri mwandamizi na makamu wawili wa Rais, tunataka mpya kabisa.
Mkuu msingi wa kuwa na sheria nzuri unatokana na uwepo wa Katiba nzuri, mimi siyo mwanasheria lakini najua sheria haziwezi kuheshimiwa kama katiba ni mbovu, ndicho kinachotokea hata sasa.Mkuu Babati, moja shika, sii kumi nenda rudi!. Fimbo iliyo mkononi ndio iuwayo nyoka! . Katiba tayari tunayo hii ya 1977 na Katiba pendekezwa inayosubiri kura ya maoni kuipitisha. Hatuwezi kuanza na kitu kipya hadi kwanza tukikamilishe hiki kilichopo mkononi! .
Paskali
Ata mkipewa huo ushauri kwenu itakuwa ni kama mmepingwa. Huwa ccm haipendi ukweli imezoea kuishi kwa uongo na kwa kutumia jeshi la polisi.Ukawa huwa mnapinga kila kitu! Haha! Hawa jamaa wameamua kua kila kitu wapinge tu!
Atengeneze sheria gani tena wakati zipo lukuki mpaka zile za makaburu mmeshazirudisha chini mtawala mkaburu mweusi(ccm)Kumbe hata hujui kua hujui??? Katiba haiwezi beba kila kitu!!!
Ndio maana nasema sheria maana huko hata bylaws zitasaidia! Jifunze then come and argue!
Watawala wanaiogopa hii katiba waliyoitengeneza wenyewe. Nadhani ulishawahi kumsikia pogba akisema hana mpango na katiba mpya na wala hakuahidi katiba mpya. Katiba sio kipaumbele kwake.Mkuu Babati, moja shika, sii kumi nenda rudi!. Fimbo iliyo mkononi ndio iuwayo nyoka! . Katiba tayari tunayo hii ya 1977 na Katiba pendekezwa inayosubiri kura ya maoni kuipitisha. Hatuwezi kuanza na kitu kipya hadi kwanza tukikamilishe hiki kilichopo mkononi! .
Paskali
Magufuli ni msimamizi mzuri sana wa sheria! Na anachokifanya sasa is no difference from what he is!Ata mkipewa huo ushauri kwenu itakuwa ni kama mmepingwa. Huwa ccm haipendi ukweli imezoea kuishi kwa uongo na kwa kutumia jeshi la polisi.