kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,622
- 1,864
Kwako Mheshimiwa,
Kipenzi cha Watanzania Mkuu wetu wa nchi ikukupendeza Tunaomba utoe neno watanganyika tupone, Jumatatu iwe Sikukuu ya Mapunziko kusherehekea Idd Tatu (3).
Ni Mimi Mtanzania Mzalendo wa Kinondoni Chama hapa.
Nawasilisha