yani nyie mlimuamini Pombe??
Zipo sehemu nyingi za kuuza mahindi humu nchini ....Serikali haitoi ruzuku ili uwalimie wakenya...MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe.
Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa kuuzaa Mazao yake popote apendapo na kwa bei tupendayo. Na hadi ukafikia kusema kuwa huu ni wakati wetu sisi wa kulima kutajirika.
Lakini cha kushangaza juzi hapa Mh. Waziri Mkuu amepiga marufuku kusafirisha Mahindi nje ya Nchi.
Mh. Rais Je ulitudanganya sisi wakulima ?
Tunaomba tujuwe msimamo wako katika hili Jambo.
Hizo Ruzuku naona Mnagaiwa kwa wana ccm tu sisi wananchi wa kawaida hatupati,tangu nianze kulima viji hekari vyangu 20 sojawahi fikiwa na hicho kitu mnaita ruzukuZipo sehemu nyingi za kuuza mahindi humu nchini ....Serikali haitoi ruzuku ili uwalimie wakenya...
Kenya tuwauzie Unga!
Tabia hii ya serikali ya kumfanya mkulima kama chombo cha serikali cha kudhibiti mfumuko wa bei ndicho kinachofanya kilimo Tanzania kimekuwa chukizo. Tunalima ili kupata chakula chetu na si kilimo biashara. Tangazo hilo limenikumbusha sera ya Lowasa ya kuruhusu wakulima kuuza mazao yao popote penye tija. Hebu fikiri ulime mwenyewe kwa gharama zako na shamba serikali ichukue kodi halafu ukiivisha inakuwa mali ya serikali ni kweli?!! .Ngoja niishie hapo nina uchungu mkali sana....MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe.
Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa kuuzaa Mazao yake popote apendapo na kwa bei tupendayo. Na hadi ukafikia kusema kuwa huu ni wakati wetu sisi wa kulima kutajirika.
Lakini cha kushangaza juzi hapa Mh. Waziri Mkuu amepiga marufuku kusafirisha Mahindi nje ya Nchi.
Mh. Rais Je ulitudanganya sisi wakulima ?
Tunaomba tujuwe msimamo wako katika hili Jambo.
Mkuu unaota?!!!! ruzuku iliishia awamu ya nne.Zipo sehemu nyingi za kuuza mahindi humu nchini ....Serikali haitoi ruzuku ili uwalimie wakenya...
Kenya tuwauzie Unga!
Vihekari vyako 20? Aise! Wapi huko?Hizo Ruzuku naona Mnagaiwagwa wana ccm tu sisi wananchi wa kawaida hatupati,tangu nianze kulima viji hekari vyangu 20 sojawahi fikiwa na hicho kitu mnaita ruzuku
Serikali haikutoa ruzuku!labda huko kwenuZipo sehemu nyingi za kuuza mahindi humu nchini ....Serikali haitoi ruzuku ili uwalimie wakenya...
Kenya tuwauzie Unga!