Mh Rais MAGUFULI; kwa hili tu nakupongeza.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,197
2,024
Naomba ni declare my interest Mimi sio muumini wa siasa za bongo hata kidogo na hii ilitokana kukosekana na viongozi wa kukemea matende ya rushwa,ubazilifu wa Mali za umma n.k.
Lakini kwa hili analofanya mh Rais ni hatua ya kupongezwa na kuombewa.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu mi nitakuombea usiku,mchana na Asubuhi
Wito wangu kwa viongozi wa dini waweke siku maalumu ya kumwombea mh Rais. Nawasilisha
 
Kwa kuamua kutubu na kuona madhambi aliyoshiriki kuyatenda tumpongeze kwa pamoja.
 
Magufuli akitaka Mungu ampe hekima na Baraka pamoja na ulinzi mkali, basi afanye ukweli....yaani akamate viongozi wahusika wote, awataifishe mali zao, na kuwafunga na hata kunyongwa kama ikiwezekana.
 
Kwa kuamua kutubu na kuona madhambi aliyoshiriki kuyatenda tumpongeze kwa pamoja.
Hivi angefanya nini yeye pekeake?na je angekua kinyume na ccm angekua hapo Leo ?we si unajua mambo haya ya vyama,sasa kapata meno unafanya Yale yaliokua yakimkela magufuri ni mzalendo wa kweli, si unakumbuka alisema akipata uraisi watalimia meno?au hukumbuki kila wizara alifanya vyema?
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Bahati nzuri JPM huwa anabisha machoni kisha hukubali rohoni.
 
Back
Top Bottom