Mh. Rais jitafakari madaraka yamekulevya; Wapinzani si maadui wa wananchi kama unavyofikiria

Mkuu hawawependi Raia wake waliompa kura hii mpya ni Nchi ya kukomoana na Visasi juu utadhani tupo Juba...
 
Hivi hili jamaa mbona haliongelei viwanda na elimu bure na mikopo ya elimu ya juu? Mbona halitupi updates za maendeleo ya airport ya chato?
Karne na karne ccm kazi yao ni kudivert attention za watz.....
 
Amepanik... povu limemtoka la kutosha. Shida tundu lisu.. na TLS.
Nilishasema mwanzoni na nitasema tena mhe... anaonyesha ni mtu wa visasi alafu busara hana.
 
Endeleeni kumuombea labda atawaelewa lakini wale wanaomzunguka wamemshindwa inatakiwa uamini kwamba tabia ni kama ngozi ya mwili huiwezi kuibadili

Tanzania Law Society ndio ipi hiyo? Mimi ninaifahamu Tanganyika Law Society (TLS). Hivi Tanzania ni ya rais au ni ya watanzania wote? Hivi opposition (wapinzani) nao ni Watanzania pia au raia wa Msumbiji ambao wametutimulia watu wetu last week so tuna hasira nao toka ndani kabisa? Kwanini tofauti za political ideologies zinafanywa kuwa kama vita? Ukiwa rais si unawaongoza wote wa chama chako na wa vyama vingine? Kwanini unaonesha kuwachukia kiasi hicho wewe si baba wa wote? Nakumbuka ule msemo wa "Cheo ni Dhamana" hivi bado upo au umepitwa na wakati?
 
Mh. Rais jitafakari madaraka yamekulevya; Wapinzani si maadui wa wananchi kama unavyofikiria.
Ndugu yangu hapo ni kama unampigia mbuzi gitaa...haoni, hasikii na hajitambui; kalewa madaraka hadi shida. Angekuwa na uwezo angewafukuza wote wanaomkosoa abaki na mataahira yasiyojua yalikotoka, yalipo na yanakoelekea.
 
Kwani Leo hii Hugo Major bado ni Mwanajeshi...!??
Ndio maana nikasema, hata Lissu kabla hajagombea aachie nafasi zake kuanzia ngazi ya tawi, wilaya, mkoa, kanda na taifa ambako ni mjumbe wa;
>> Mkutano mkuum
>> Halmashauri Kuu
>> Kamati Kuu
>> Mwanadheria Mkuu wa Chama.
Yaani atoke kwenye active politics, abaki kuwa mwanachama na shabiki wa kawaida tu.
Acha upofu yule comender kaingia chamani akiwa soja, na hawa walioko mikoani na wilayani kama wakuu huvaa na magwanda wakiwa ofisini (Dc's & Rc's) nao unawasemeaje ?!. Double standard

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Duuuh huyu jamaa anashida gani kwani wapinzani sio watanzania.. anajiaibisha tuu
 
Tatizo watanzania hatupendi kuambiwa ukweli. Na kwa sababu ukweli ni mchungu kwetu basi tunamuona Mh. Rais kama kikwazo. Ila wenye macho tunayaona. TLS inakoelekea ni kwenye siasa.
TLS kitu gani,watu wametoa mifano kwenye muhimili wa mahakama alipotokea Jaji Ramadhani na Tulia
 
Nguvu inayotumika na wapinzani kumkwamisha JPM kipropaganda ndiyo hiyo inayotumika kuwazuia wasifanikiwe....for every action, there is an equal reaction....!
 
WANANCHI tena?
Mbona sikiuelewi unataka kuniambia wnavyo wafanya wapinzani ndio wananchi wanashangilia au wanachi watapata kilicho walichotarajia?

Au ulitaka kusema Serekali? au CCM ?
 
Anapokera kujiona kuwa yeye anajua Kila jambo, na kuwadharau wengine wote kuanzia viongozi mpaka wananchi wake, ukweli kuwa marekani waliona mbali sana kutokumpa maskini Urais, huyu anatabia za ajabu mno tutamnyoosha 2020 asubiri
 
Katika watu wapumbavu na wajinga hutakosa. Inabidi uwaambie JF members ambao ni wengi kwamba uhuru wanaoutumia kwa kebehi na dharau kwa rais kwa sababu tu ya chuki zenu haziwezi kumkwamisha rais kutekeleza ilani ya CCM ambayo ndiyo ilimpa ushindi. Mpo deluded na kufikiri Tanzania imewekwa rehani na vifisadi ambavyo haviwezi kufua dafu kwa serikali hii. Hamuwezi kumfanya chochote rais wa Tanzania na hao kina Mbowe na Jambazi Sugu et al wanaowalisha peremende zitawatokea puani.
Mbona umetumia nguvu kubwa sana wakati kila kitu kipo wazi kuhusu huyo rais wako mwema!?
 
Anapokera kujiona kuwa yeye anajua Kila jambo, na kuwadharau wengine wote kuanzia viongozi mpaka wananchi wake, ukweli kuwa marekani waliona mbali sana kutokumpa maskini Urais, huyu anatabia za ajabu mno tutamnyoosha 2020 asubiri
Kwa tume gani ya uchaguzi, hii NEC ya makada kweli ?! WaTz wote tunalizimishwa kufanya bila hiyari yetu . So saad

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom