MH. Rais hapa ulichemka !!!

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
nianze na salam kwako !
Sina hakika sana kama jina la ndugu Phillipo mlugo ni geni kwako....
Huyu bwana ni mmiliki wa shule moja iliyopo mbeya inaitwa southen highland kabla ya kuwa naibu waziri wa elimu alikuwa ni mkurugenzi wa shule tajwa hapo juu lakini kati ya mwaka 2005 mpk 2008 shule yake ilifungiwa kwa miaka 2 baada ya kuvujisha mtihani wa kidato cha 4.... Je kumpa unaibu waziri ktk wizara ya elimu huoni kama umeweka mdokozi jikoni !! Naonaga jinsi anavyojifanya mchungu ktk shule nyngne zinazokiuka taratibu lakini kiukweli mwizi akiibiwa huona ameonewa !!!
Nawasilisha..
 
mpigie 0754 777775

Mkuu mbona nimepiga hii simu anapokea dada mmoja ni changudoa na anasema anauza baa moja pale Sinza anasema inaitwa Masiga Bar,maana nimempigia tu aliposikia sauti ya kiume kaanza kuweka plan tukutane wapi....au ulikuwa unapiga maji ukajisahau ukairusha hapa JF.......
 
Wacha nitizame kwanza Channel ten Kuna kipindi cha Usalama Barabarani ndani ya ARRISSALAH

Sheikh vs Polisi kamanda
 
Tukianza kuchunguza sifa za mmoja mmpja hatutafika nadhani sifa kubwa ya Mkurugenzi kupita bila kupingwa basi
 
JK kuteua vimeo ni kawaida yake. Nakumbuka aliwahi kumteua DC huko Shinyanga wakati jamaa ana kesi ya rushwa mahakamani kama sijakosea
 
nianze na salam kwako !
Sina hakika sana kama jina la ndugu Phillipo mlugo ni geni kwako....
Huyu bwana ni mmiliki wa shule moja iliyopo mbeya inaitwa southen highland kabla ya kuwa naibu waziri wa elimu alikuwa ni mkurugenzi wa shule tajwa hapo juu lakini kati ya mwaka 2005 mpk 2008 shule yake ilifungiwa kwa miaka 2 baada ya kuvujisha mtihani wa kidato cha 4.... Je kumpa unaibu waziri ktk wizara ya elimu huoni kama umeweka mdokozi jikoni !! Naonaga jinsi anavyojifanya mchungu ktk shule nyngne zinazokiuka taratibu lakini kiukweli mwizi akiibiwa huona ameonewa !!!
Nawasilisha..

Shibe ya pilau la X-mass inakusumbua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom