EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
- Thread starter
- #21
Shibe ya pilau la X-mass inakusumbua.
sawa bwana TAMBWE KIZAH !!!
Shibe ya pilau la X-mass inakusumbua.
JK kuteua vimeo ni kawaida yake. Nakumbuka aliwahi kumteua DC huko Shinyanga wakati jamaa ana kesi ya rushwa mahakamani kama sijakosea
wasipokuwa makini chungu kitakuwa cheupe !!!ndo maana mitihani ya darasa la saba ilivuja hivyo mwaka huu kumbe sterling alikuwa kwenye movie