pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,465
- 6,109
Sijamwelewa Mh. Rais kuhusu kauli yake kuhusu wauaji. Mh rais amesema HAWATAPITA, tena amerudia mara kadhaa.
Hii kauli inaonesha rais anajua hawa wauaji wanataka kupita, ambacho sijaelewa ni kuwa wanataka kupita waende wapi? Wanapita waende zao au wanapita wakakae sehemu?
Kwanza ni akina nani hawa wanaotaka kupita? Maswali ni mengi!!