The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,579
- 20,388
Unamaanisha coup sio?Pole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia
Dalili ya kuchanganyikiwa. Kutokuwa a respected diplomat akiwakilisha nchi yake Cuba na nchi kadhaa huko..kuwa kama digi digi mtembea usiku akijificha na kujirikodi.... so pathetic.
Wenye akili ya kuunganisha dots walishtuka kwa yaliyomkuta Mrisho Mpoto wakati wa msiba wa mke wake (RIP)....shida huwa haziji kwa mkupuo, ni vipande vipande....hatimaye kitu pwaaa!Pole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia
Nyerere mwenyewe wakati WA kudai Uhuru alikuwa akilala kwenye mapagara,Dalili ya kuchanganyikiwa. Kutokuwa a respected diplomat akiwakilisha nchi yake Cuba na nchi kadhaa huko..kuwa kama digi digi mtembea usiku akijificha na kujirikodi.... so pathetic.
Kwa hiyo Polepole na yeye anadai uhuru?Nyerere mwenyewe wakati WA kudai Uhuru alikuwa akilala kwenye mapagara,
Ndio, nchi imo mikononi mwa Wahuni.Kwa hiyo Polepole na yeye anadai uhuru?
wewe unafikiri njia za kidemokrasia zinaweza? Angalia tu kule Nchi ya Zanzibar wajuzi wanasema CCM haijawahi kushinda kuleUnamaanisha coup sio?
Kwani kuna uhuru?Kwa hiyo Polepole na yeye anadai uhuru?
Kwa jeshi ganiJeshi si mchukue nchi? Mbona mpo mpo tu😏
Unamuamgalia kwa kutumia upeo wako unapokomea...Huyu kaanza kuchanganyikiwa 😂
Ambazo bado watazipata tu ikiwa wao watakuwa ndio maraisWakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.
Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. Subiri jeshi lichukue nchi Matsumoto sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.