Mh. Pinda yu wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Pinda yu wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanzania haswa, Jun 5, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wana jf...
  nipo concern na waziri mkuu wangu mh. pinda mtoto wa mkurima, yu wapi huyu mzee ni siku nyingi simsikii nimepata habari zisizo rasmi kuwa alienda kimatibabu nje ya nchi, vp hari yake?
   
 2. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yupo bwana nilimwona jana. utamwona Bungeni kuanzia Ijumaa waziri mkuu wako
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kaenda kutibiwa ngoma
   
Loading...