Mh Mwigulu, hivi vituo ni vya polisi ama vya dharura?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,586
Nianze pale Tazara

Ukitokea Airport kwenda Tazara ukipita mataa ya Tazara kuna kibanda cha polisi. Hiki kibanda hakifanyi kazi tena wanasimama ila wanapokukamata huku ndiko wanakupeleka na ndiko swali langu..Mh Mpinga sijui kama unakujua?

Kabla hujafika Azam TV kuna ofisi za mhindi zina geti ya blue. Hizi ofisi ukisukuma geti kushoto kuna viti tano na meza mbili..Niliwahi uliza mali za nani sikupata jibu

Leo tuasidiane Mh Mwigulu nani mmiliki wa kuweza kuingiza traffic humu ndani? Ukishaingia juu ya meza kuna redio call kabisa na mavitabu ya faini

********"No 2**""******

Hapaa nako sipaelewi Hon Mwigulu najua uko humu. Ukifika pale Serena hotel traffic light kushoto kuna kibanda cha voda kwa ajili yao. Hilo alitoshi traffic wamekuwa wakikamua pikipiki na sielewi peni haziandiki faini ama mashine zao hazitoi risiti zikiwa kwenye vibanda.

Opposite na kibanda kile kuna gorofa chini kuna geti. Ingia kule ndani kuna meza mbili viti tano nk..Najiuliza kama EFD haihitaji solar kwanini wanaokamatwa wapelekwe kule ndani ofisi za watu binafsi?

Majuzi askari mmoja nimeropokeana nae sana. Amemsukuma pikipiki akadondoka, jamaa ameumia traffic kachukua pikipiki kaikimbiza kule ndani wakati jamaa amezungukwa analia na vidonda.
 
Back
Top Bottom