Mh.Mwakyembe akerwa na tabia ya wanaume kuvaa cheni shingoni

Mh.Mwakyembe akerwa na tabia ya wanaume kuvaa cheni shingoni

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,911
Akizungumza uwanja wa KIA leo amesema badala ya matajiri wa arusha na moshi kuvaa macheni,bangili ni bora wakawekeza katika reli ya arusha moshi.Nafikiri hapa JF wapo wanaume pia wenye tabia hiyo ya kuvaa urembo wa kina mama
 
kawapa ukweli mtupu...halafu pia hao matajiri wa moshi arusha ni wakwepaji kodi wakubwa
 
He he he he..Hivi hata Nkapa si analo? Aje ajumuike na mabilionea wenzake....
 
Kuna watu wameamuwa kufunguwa benki shingoni ooook
 
hao ndo wanaifanya arusha kushika nafasi ya 6 katika kuchangia mapato ya taifa wakizidiwa mbali na mbeya, iringa, shinyanga, mwanza na dar.......ndo maana mtu hadi anakufa ndo unaambiwa alikuwa bilionea
 
Hivi ni kweli kwamba mwanaume yoyote anaevaa dhahabu ni muhalifu(criminal) mafia wote lazima umkute Na kipande cha dhahabu wauza ubuyu( unga) wote lazima dhahabu iwepo
 
huyu baba nae mbona anakuwa na akili za kapuya sasa...hivi yale mashangingi aka vx na hizo cheni kipi cha gharama kubwa...piga mnada vx zote kajenge shule kijijini watoto wanachunga ng'ombe tu kaa bibi
 
Sababu dhaifu...ishu ni kwamba yeye hapendi cheni haihusiani na uwekezaji. Na yeye aache kuvaa likofia la kanda bongoman eboooo....
 
Hivi ni kweli kwamba mwanaume yoyote anaevaa dhahabu ni muhalifu(criminal) mafia wote lazima umkute Na kipande cha dhahabu wauza ubuyu( unga) wote lazima dhahabu iwepo

nini siri ya haya maneno yako mkuu au una ushahidi wowote labda?
 
Hivi ni kweli kwamba mwanaume yoyote anaevaa dhahabu ni muhalifu(criminal) mafia wote lazima umkute Na kipande cha dhahabu wauza ubuyu( unga) wote lazima dhahabu iwepo

Crime is money; gold is money!!!!!!
 
Kama unavaa gold jichunguze je wewe co muhalifu hata rushwa ni uhalifu@mzaramo
 
Back
Top Bottom