Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

nyie amjui umuhimu wa africa mashariki bora mnyamaza. waulizen wafanyabiashara walioko kwenye mikoa inayopakana pia waulizen wanafunzi mtajua faida zake.

mkuu unavyotaka kujenga hoja ni vyema ukaifafanua.
lakini wewe umewasilisha kivivu sana, sawa tuambie faida wanazopata wananchi wa mipakani EAC..!!!
 
Sikuwahi kuungana mkono na Kikwete,lakini kwa jambo hili nitamuunga mkono dhidi ya huyu CHIZI wa rwanda. Ni wakati wetu Watanzania kujitambua na kuondoa hizi dharau huyu
 
Mh Membe,
Mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza.

Tujitoe EAC kwa faida ya nani? Tunaihitaji EAC kuliko tunavyofikiri, na ni faida kwetu zaidi kuwepo EAC karibia kuliko majirani wanaotuzunguka. Ishu hapa ni maslahi. Kwanza mshindani mkubwa kwa Tanzania kwa EAC ni Kenya tu! na popote pasipokuwa na ushindani hapana tija. Hivyo Kenya lazima iendelee kukaza uzi ili nasi nukaze zaidi. Kujitoa EAC ni kuwapa Kenya uwanja mpana sana kumiliki soko lote na kuhodhi miuondombinu mbinu yote muhimu kuzihudumia nchi zote hizo. Hilo sio tija hata kidogo kwa Tanzania.

Pili, ukitafakari kwa undani, utaona kuwa Rwanda na Uganda wanaweza kuwa na malengo yanayoshabihiana sana haswa linapokuja suala la DRC. Kila ninapotafakari hata msuguano ukiopo kati ya Kagame na Dar es salaam, ni kitendo cha nchi yetu kuridhia kupeleka majeshi yake Congo. Na ndahani hata Kagame alipotoa kauli ya kumsubiri jamaa afike mahali sahihi amnyweshe dawa, nadhani huenda analenga majeshi ya kulinda amani ya Tanzania yaliyopo Congo. Inawezekana uwepo wa jeshi la Tz nchini kongo kukatizamwa kuwa kuzuizi cha Uganda/Congo kufaidi utajiri uliyopo Congo, na kikawa kichocheo cha uhasama.

Kwa vyoyote, Kenya yenyewe itajiangalia zaidi ni kwa jinsi gani inaweza kujifaidisha zaidi baada ya hali kuwa dhidi ya TZ.

Hivyo mtoto akinyea mkono, hunabudi kuuosha na kuendelea kukata matonge ya ugali na sio kuukatilia mkono mbali. Ya Kagame na Kikwete yatapita, na EAC itakuwepo.
 
Huwezi kuitoa znz hapo maana hilo ni kolon la tanganyika.
toa tanganyika..wacah
kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema
kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania
 
mimi sijazaliwa tanganyika wala sijazaliwa zanzibar,...nimezaliwa Tanzania hivyo naongelea TZ acha fikra za kizamani
yaani wewe umezaliwa tanganyika na zanzibar... wacha kukataa kwenu kichogo wewe......toka kule tanganyikazzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Unafikiri sie tuna muda na watu wavivu kama nyie?Kwanza mnatupa faida gani ktk huu muungano zaidi ya kutunyonya tu!Hata mkitaka kuondoka leo..kwaherini wanyonyaji na wabaguzi wakubwa nyie.
nyinyi mnachanginini katika huu muungano.. sisi zanzibar tupo na tunatoa fungula kwetunyinyi mkowapi.. au tumeungana na tanzania?.. think...........mkataa kwao mtumwa leteni cha kwenu tuone than tujue kipi cha kwetu pamoja..wavivu wa hata kufikiti tanganyikazzzzzz.. jina wenye wake limekaa kimsitu msitu ivi.... huyo bwana mdogo kagame akija kuwachapa mara hii hatuwaombei kama kwa amini kule.. mida hizi tunakuja kama kuwasupport mkigeuka tuu tunanapiga vichogo wa tanganyika wenye wao ili tujilipizie miaka karibu hamsini mlo tu pull back.... dahhhhhhhhh waoga wa kuishi kwa kutumia true identity zao= tanganyika... isi zenj ya baar.. tumepoa na kila kitu chetu.....yaani ninajua itakugusa but ukweli unauma huh....... yeah nyikazzzz......msitu msitu yaani si utani kweli kweli sio...
 
Wewe kama si Mungiki au Konyi basi utakuwa M23. Tanganyika au Zanzibar hatubabaishi lugha yetu. Subiri na nyie kiwake kuhusu visiwa vya MIGINGO
wazanzibari hatujui hata maana hayo majina ulotaja hapo juu... wewe mnyika umefanana na msitu msitu ivi.. pisha kule..

sis zanziabar tunawatuma tuu nyinyii mfanye job kwa ajili yetu....tunaburuza kama kawaida....watu kibao akili vifuu....dahhhhhhhhhhhhhhh
 
ile statement ya kumtaja Kikwete imekaa kichochezi sana pia. Kuna chumvi sana kwenye ile statement kiasi kwamba hata mimi ningekuwa kikwete ningenyamaza. Kikwete ana madhaifu mengi sana kama Kiongozi mkuu wa nchi, lakini hili la Rwanda binafsi nampongeza handling yake. It is the one thing amefanya sawa katika machache sana ambayo kafanya sawa. Kwa hiyo nakuunga mkono. jengine ambalo ningependa kuongezea hapo ni hili. kwamba Paul Kagame hatabaki kuwa rais wa Rwanda milele. yapo mazuri kaifanyia nchi yake, lakini binafsi namwona kavimbishwa kichwa sana na sifa anajihesabu ni kijimungu mtu. Rwanda itapata kiongozi mwingine eventually na matumaini ya Kenyata kucontrol Rwanda kwa mikataba yake na Kagame inaweza kuwa mashakani in the long run. Strategically, ishu kubwa hapa wala si Rwanda. Ishu kubwa hapa ni Uganda! That is what we need to be thinking about the most.Uganda anawaza nini? Can Uganda be in the same pot with Kenya? for what and for how long? hii ndo hasa issue ya kuiwazia sana. Kenya anatafuta regional relevance kupitia Uganda na South Sudan. South Sudan ipo mbali sana nasi, kwa hiyo issue hasa ni Uganda. Hii takataka inaitwa Rwanda (hili neno takataka ni la Kagame peke yake)achana nayo.... Uganda ndiyo issue hapa.
Hapo mkuu umemaliza kila kitu, nakupongeza sana kwa uchambuzi wako - ni matumaini yangu kwamba Serikali yetu inalitambua sana hilo na itakuwa imejipanga jinsi yakuji-conduct ku-counter mbinu zao kama kuna ulazima, binafsi naona kama jamaa hawa wanajaribu kuipiga vita kisaikolojia TANZANIA wakiwa na mawazo kwamba wakionyesha dalili za kututenga basi na sisi tutakimbilia kukubaliana nao kwa kila kitu hata vile vyenye walakini MKUBWA - culprit mkubwa hapa ni Kenya, wana mawazo ya ajabu sana kuhusu umuhimu wao katika Eastern Africa i.e watafanya lolote katika kutaka kutekeleza malengo yao kuitawala Region nzima kiuchumi - hii ndio long term plan yao, wanaona TANZANIA ni kikwazo kikubwa katika mbinu zao.
 
Back
Top Bottom