Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

Usiwalaumu waKenya kwa uzembe na upuuzi wenu watanzania. This is free market era, kama hutimizi wajibu, kama hauko aggressive hakuna wa kukuonea huruma. Nyie endeleeni kutembeza mabakuli kwa wazungu badala ya kujenga uchumi na kuimarisha biashara na majirani zenu.

Tena Tz ikojitoa itakuwa imewasaidia sana majirani maana inawatesa mno, majirani zenu wanateseka sana kwa kututegemea sisi. Bandari dhaifu, reli hakuna na hivyo wanajikuta wakitumia gharama kubwa sana kufanya biashara pasipo na ulazima. Tunawasababishia bei kubwa za bidhaa kwa upuuzi wetu wa kushindwa kuwekeza kwenye reli na bandari. Hawaoni haja ya kuwa na jirani dhaifu, hakusaidii wakati wa raha, hakusaidii wakati wa shida. Kwa Rwanda, Burundi, Kongo, Zambia, Malawi wanaona Tanzania kama jirani dhaifu anayeshindwa kutumia fursa Mungu alizompa. Ukijitoa kwenye ushirikiano nao watashirikiana na nchi zingine na mambo yao yataenda. Timiza kwanza wajibu wako ndio uanze kulaumu majirani zako.

Hoja zako za mashiko lazima baadhi zimeegemea itikadi yako ambapo hatuko interested kujadili itikadi za watu fulani
 
Ndugu ww ndie ulokurupuka baada ya kuona kakosea alikiri kosa akaandika COMESA, af sijui na ww uko ulimwengu gani? coz saiz hyo SADCC tuliisahau kitambo ss tuna SADC

Unataka nikujibu? NO...
 
Yes kujitoa ndio njia nzuri ya kuwatesa hao majirani wabaya

However we need to do this carefully...considering road freight corridor to land locked countries via them, Full liberation of Congo, removal of those against 'peace call' from power....YES INDEED the unspeakable need consideration
And finally Malawi dispute needs to be put off before we pick up another fight...
 
Umenkumbisha babu WA Zimbabwe alivyowaambia stupid WA sadc kumtaka aache kugombea wakati WaZimbabwe wanamtaka, ardhi ya Tz imeshindikana kuingia eac washatuona hatuna dili
 
Umenkumbisha babu WA Zimbabwe alivyowaambia stupid WA sadc kumtaka aache kugombea wakati WaZimbabwe wanamtaka, ardhi ya Tz imeshindikana kuingia eac washatuona hatuna dili
 
Do not tink of running away from da problem ( challenge), face t nd dfeat t
 
Do not tink of running away from da problem ( challenge), face t nd dfeat t
we're not running from a proplem, thats a way of facing it.. moving away will send effective signal to them. also its more effective for us to strengthen our position in AU rather than wasting resources and our time in a community with no hope.
Idd Amin said the best way to defeat is knock out.. we should knock them out.. our territtory is even more than theirs combined why bothered with them
 
ukishajua nimesomea nini unafaidika nini, afadhali utumbo unapitisha chakula.. tatizo lako kichwani umejazwa upepo wa pampu ya bike

Kama huna cha kuandika kaa kimia kuliko kujidhalilisha, uandishi tu ni kuwa hujasoma ukaelimika
 
Yes kujitoa ndio njia nzuri ya kuwatesa hao majirani wabaya

However we need to do this carefully...considering road freight corridor to land locked countries via them, Full liberation of Congo, removal of those against 'peace call' from power....YES INDEED the unspeakable need consideration
And finally Malawi dispute needs to be put off before we pick up another fight...
Agreed!! Malawi issue shouldnt be bothering you.. they have realised their weak position within SADC, AU and in international community.. thats why we say a greater unions such as AU and SADC are better in terms of power balance compared to EAC.. thats why they are making alliances within the intergration the end of it will all know its (EAC) is not going to last long.. we better be the early movers there is an advantage for that
 
Sasa kama tuliiona EAC ni ya maana na kuiundia Wizara sasa ina kuwaje leo watu mnataka tujitoe!! Kwa jinsi inavyoonekana EAC imepewa uzito zaidi ya SADC.

By the way, kule SADC nako tuna matatizo na Malawi .............. sasa kama Malawi ikiwaalika na wakakutana bila sisi nako tutamwambia Membe apeleke form ya kujitoa.

Labda Sitta naye angeja hapa kujibu maswali kama Prof. Tibaijuka ingekuwa poa sana. Lakini inawezekana anaogopa kuulizwa ile office ya Spika jimboni kwake!!
 
Kwa kinachoendelea chinichini kati ya hawa 3-K's (Kagame, Kaguta and Kenyatta) sioni maana ya Tanzania kuwa member wa EAC
Bora tuwe kivyetu tu
 
Watu hamna data mnapiga kelele tuu kwa story za vijiweni,eti abandon EAC? for what reasons,so mnataka kufanya business na nani?hamna idea TZ is making billions kutokana na hao majirani na leo mkisimamisha uhusiano nao losers ni nyie sio wao,angalia balance of trade btn TZ na Kenya hivi mnajua TZ wana export in billions more kuliko wanavyo import from Kenya which is positive to Tanzania,capital inflow kutoka Kenya ni one of top 3 ila mnachoangalia tuu ni wakenya wanachukua kazi zetu na hao western investors and Chinese capital yao ni kwenye natural resources tuu na hawalipi kodi hata moja zaidi ya kuchukua depreciation,free VAT ya kila kitu wanachoingiza,zile mining zote wanaingiza millions of gallons of oil,diesel na capital goods nyingine na hawalipi VAT lakini nyie mnalipa hilo hamuoni na hamjui,then leo eti funga uhusiano na hawa cross borders wakati millions of citizen wanategemea trading btn these borders to survive...hamna akili nyie!!!
 
Sasa kama tuliiona EAC ni ya maana na kuiundia Wizara sasa ina kuwaje leo watu mnataka tujitoe!! Kwa jinsi inavyoonekana EAC imepewa uzito zaidi ya SADC.

By the way, kule SADC nako tuna matatizo na Malawi .............. sasa kama Malawi ikiwaalika na wakakutana bila sisi nako tutamwambia Membe apeleke form ya kujitoa.

Labda Sitta naye angeja hapa kujibu maswali kama Prof. Tibaijuka ingekuwa poa sana. Lakini inawezekana anaogopa kuulizwa ile office ya Spika jimboni kwake!!
Mzee Sitta angekuwepo hapa kama Prof Anna angetusaidia sana Kujibu.. Ukweli nikuwa ile wizara yake kimantiki haistaili kuwa wizara...ni mzigo wa kodi tuu wanachi wanabebeshwa ile ingekuwa mmoja ya wizara za kupunguzwa tena ingesaidia sana kuondolea serekali yetu lawama ya kuwa na wizara nyingi. maana kazi za ile wizara ilipaswa ifanywe na Wizara ya Membe kama ilikuwa na umuhimu sana tungeelewa kama ingewekewa kitengo lakini sio kupewa hadhi ya wizara.. yeye mwenyewe alikiri juzi hawakualikwa sasa hiyo si dharau kwa wizara yake.. pili hiyo wizara inaleta mwingiliano.. na wizara ya Membe..
Malawi hata ikifikiria kufanya huo ushenzi wa kuwaalika wengine hawawezi kufanikiwa maana nchi za SADC zimepevuka kuliko za EAC.. ndio maana unaona hata swala la ziwa Nyasa ni kaa la moto kwa yule mama.. maana anajua ukweli hawezi kupeleka hoja za bei chee SADC au EU. tatizo hawa EAC wanayo historia ya kuvunjika ukifuatilia ni upumbavuu huuu wanaupalilia sasa ivi..sio kwamba hatupendi ushirikiano lakini zaidi hatupendi unafiki na uzandiki..tutashirikiana na yeyote yule kuhakikisha utu na ubinadamu unatunzwa.. kama jjinsi tunavyoimba katika nyimbo zetu za taifa.
 
Agreed!! Malawi issue shouldnt be bothering you.. they have realised their weak position within SADC, AU and in international community.. thats why we say a greater unions such as AU and SADC are better in terms of power balance compared to EAC.. thats why they are making alliances within the intergration the end of it will all know its (EAC) is not going to last long.. we better be the early movers there is an advantage for that
Hivi wewe unatumia miguu kufikiria?yaani sijaona mtu mpuuzi kama wewe ambaye wanakuita prof (sijui mganga wa kienyeji),FYI hao SADCC hawafikii hata 10% ya trading btn TZ and EA African states,leo unataka kutupa 90% for 10% ndio maana nakuita huna akili wewe ni siasa tuu na kujifanya unajua kumbe hujui chochote
 
Watu hamna data mnapiga kelele tuu kwa story za vijiweni,eti abandon EAC? for what reasons,so mnataka kufanya business na nani?hamna idea TZ is making billions kutokana na hao majirani na leo mkisimamisha uhusiano nao losers ni nyie sio wao,angalia balance of trade btn TZ na Kenya hivi mnajua TZ wana export in billions more kuliko wanavyo import from Kenya which is positive to Tanzania,capital inflow kutoka Kenya ni one of top 3 ila mnachoangalia tuu ni wakenya wanachukua kazi zetu na hao western investors and Chinese capital yao ni kwenye natural resources tuu na hawalipi kodi hata moja zaidi ya kuchukua depreciation,free VAT ya kila kitu wanachoingiza,zile mining zote wanaingiza millions of gallons of oil,diesel na capital goods nyingine na hawalipi VAT lakini nyie mnalipa hilo hamuoni na hamjui,then leo eti funga uhusiano na hawa cross borders wakati millions of citizen wanategemea trading btn these borders to survive...hamna akili nyie!!!
wao wameshaanza kututenga hata kibiashara.. hatuna haja sana ya kuwalilia.. pengine tukijitoa ndio biashara zitaongezeka zaidi maana tutaheshimiana kama majirani.. sipingi ushirikiano nachopinga ni huu Umoja. hauna manufaa.. hayo manufaa tunayoangalia hapo tunaweza yapata AU maana wote sisi ni washirika wa AU. unafikiri umoja wa afrika mashariki ukifa mipaka itafungwa hapana, huko ni kuwa na fikra finyu. Biashara zitaendelea, watu wataendelea kushirikiana nao kama kawaida. tafauti tuu ni kuwa hatutakuwa na huo ushirika wa kinafiki. na Kiuchumi itaipa TZ uhuru zaidi wa kufanya sera zake ambazo zinaweza zikavutia biashara kubwa zaidi kuliko hiyo inayolelewa na hao.. tunaweza tukafanya uchumi wetu kuwa smaku ya kunasa investement zao zote kuja afrika maana siku izi watu wanaaangalia kwenye rotuba.. sio tuu wanafanya biashara kiholela holela
 
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania

Lecturer wangu ambaye ni mzanzibar alipata kusema "Zanzibar ni dogo zaidi ya wilaya ya bahi ya mkoani Dodoma"
 
wao wameshaanza kututenga hata kibiashara.. hatuna haja sana ya kuwalilia.. pengine tukijitoa ndio biashara zitaongezeka zaidi maana tutaheshimiana kama majirani.. sipingi ushirikiano nachopinga ni huu Umoja. hauna manufaa.. hayo manufaa tunayoangalia hapo tunaweza yapata AU maana wote sisi ni washirika wa AU. unafikiri umoja wa afrika mashariki ukifa mipaka itafungwa hapana, huko ni kuwa na fikra finyu. Biashara zitaendelea, watu wataendelea kushirikiana nao kama kawaida. tafauti tuu ni kuwa hatutakuwa na huo ushirika wa kinafiki. na Kiuchumi itaipa TZ uhuru zaidi wa kufanya sera zake ambazo zinaweza zikavutia biashara kubwa zaidi kuliko hiyo inayolelewa na hao.. tunaweza tukafanya uchumi wetu kuwa smaku ya kunasa investement zao zote kuja afrika maana siku izi watu wanaaangalia kwenye rotuba.. sio tuu wanafanya biashara kiholela holela
Hakuna mtu amekutenga nenda borders hata leo maelfu ya watu and goods criss crossing 24/7 na serikali inachukua chake and everybody happy,mnayoongea hapa is just fantasy and politics,and the only thing we need is more cooperations na hawa majirani sio kufungiana mipaka or kukomoana kwa kuongezeana kodi,kuwekeana ugumu wa kuingia nchi nyingine etc
 
Mbona mzee unakuwa mgumu kuelewa, hatujasema tunasitisha biashara na wao.. na sio kwamba hatutaki biashara nao tunachotaka ni ushirikiano imara, wenye nia na dhamira ya kweli kama hamna nia na dhamira kwanini tuendelee na EAC kama intitution.. kuwa EAC kama institution hakumaanishi ksuitisha biashara nao, hakumaanishi kupandisha kodi, hakumaanishi kufukuzana, hakumaanishi kusitisha maongezi nao.. chochote kitakachotokea baada ya hapo itategemeana na sera zetu. inachomaanisha ni kuwa hatupendi unafiki. ndio tunaongea politics maana hili ni jukwaa la politics.. tunataka siasa safi.. ni muhimili wa hayo maendeleo ya kiuchumi unayoongelea.
hizo economic justification unazo tafuta hazina mshiko, maana hata leo SA inatuheshimu maana tulisimamia siasa safi zinaheshimu utu na ubinadamu na hivyo ndio maana mataifa makubwa sasa yanatafakari kuwekeza nchini na kushirkiana na wafanyabiashara maana siasa zetu ni safi. sasa kama ni fantasy muulize obama kwanini hakukanyaga kwao kenya.. au kwanini hakwenda UG au Rwanda.. siasa safi.. muulize CHina kwanini alichagua kuja TZ. hawa majirani zteu penda wasipende watashirikiana na sisi tuu hivyo lazima na sisi tuongeze negotiation power yetu na wao na njia nzuri ya ili upate bei nafuu ni kuonyesha huna interest hata kama unayo.. hakuna mtanzania ambaye hapendi ushirikiano.. hata nyerere alikuwa tayari asubirishe uhuru wetu ili tuwe kitu kimoja lakini alipogundua kuwa hawana nia umoja wa afrika mashariki ulivyunjika.. mbona sasa walirudi na kuongezeka
 
Back
Top Bottom