Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

Mh Membe peleka Form ya kujitoa EAC

KISANTILITEDI

Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
96
Reaction score
27
Mh Membe,
Mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza.

Ni heri tukajitoa kwa sababu zifuatazo tukiwa wakwanza kuondoka hatutakula hasara sana, tukichelewa muungano utavunjika na hasara itakuwa kubwa zaidi. Pili, kama kuna jambo lolote linahusu ushirikiano linaweza kujadiliwa Umoja wa Afrika, ambako kutakuwa na usawa zaidi wa watanzania kupata haki yao.. Tatu, viongozi wote walioko kwenye EAC ni wakiukwaji wa haki za kibinadamu, ( wote tunajua h historia ya kagame, kenyata na Kaguta).. kama tuna kiu ya ushirikiano sana tunaweza kushurikiana na Burundi na Kongo ambako tayari tumeshatuma vijana kusawazisha Amani duru ya taifa letu.

Na nne hatuwezi kushuhudia ofisi yetu kuu( ikulu ikidhalilishwa) na watu amba tumewasaidia kwa jasho letu ( tumesuluhisha kenya, tumeikomboa UG toka kwa nguli amini, Rwanda Baba yetu wataifa alipotezea mda wake wa kustaafu kutafuta suluhu.. licha ya wakimbizi) alafu tucheke nao... Mwisho kabisa mimi kama kijana wa CHADEMA, naunga kauli ya mwenyekiti (Mbowe), 'mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni' rais wetu Kikwete kaonyesha hekima kutojibiza na samaki wanaotapatapa..yeye ni action tuu wanamuonea CCM.. dongee limewakaba.. maskini yule jamaa wa, I'll hit you' kama umemmcheki fresh kazeeka... sijui tumpasishie kikombe cha babu wa loliondo... asante nawasilisha
Prof Kisantilitedi
 
Mh Membe,
mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza. ni heri tukajitoa kwa sababu zifuatazo tukiwa wakwanza kuondoka hatutakula hasara sana, tukichelewa muungano utavunjika na hasara itakuwa kubwa zaidi.
pili, kama kuna jambo lolote linahusu ushirikiano linaweza kujadiliwa Umoja wa Afrika, ambako kutakuwa na usawa zaidi wa watanzania kupata haki yao.. tatu, viongozi wote walioko kwenye EAC ni wakiukwaji wa haki za kibinadamu, ( wote tunajua h historia ya kagame, kenyata na Kaguta).. kama tuna kiu ya ushirikiano sana tunaweza kushurikiana na Burundi na Kongo ambako tayari tumeshatuma vijana kusawazisha Amani duru ya taifa letu.
na nne hatuwezi kushuhudia ofisi yetu kuu( ikulu ikidhalilishwa) na watu amba tumewasaidia kwa jasho letu ( tumesuluhisha kenya, tumeikomboa UG toka kwa nguli amini, Rwanda Baba yetu wataifa alipotezea mda wake wa kustaafu kutafuta suluhu.. licha ya wakimbizi) alafu tucheke nao...
mwisho kabisa mimi kama kijana wa chadema, naunga kauli ya mwenyekiti (mbowe), 'mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni' rais wetu Kiwekwete kaonyesha hekima kutojibiza na samaki wanaotapatapa..yeye ni action tuu wanamuonea ccn.. dongee limewakaba.. maskini yule jamaa wa, I'll hit you' kama umemmcheki fresh kazeeka... sijui tumpasishie kikombe cha babu wa loliondo... asante nawasilisha
Prof Kisantilitedi
Prof. ulikua wapi tangia December 2009..?? you have only 32 posts..
Bado naifikiria hoja hii...you might be right...
 
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Tanzania ni mwenda pole, na mwenda pole hajikwai. Hoja yako haina mashiko kwa sababu wewe hauko mipakani mwa Tanzania. Umoja wa Afrika ya Mashariki ya sasa, umeundwa kwa mkataba mgumu sio rahisi kuuvunja vile wewe unavyotaka, Siku zote Tanzania inatumia diplomasia zaidi na sio kukurupuka. Chadema inatokea wapi hapa ama unataka kukidhalilisha kwa mambo ya kukurupuka unapoandika uzi huu? Tunapozungumzia mambo ya nnje ya mipaka yetu tunazunguza kama nchi kwa ujumla na sio chama. Mwisho : vunja kwanza ndoa yako, na mahusiano na familia yako, ndipo uje na uzi wakuvunja eac. Pia kumbuka waziri husika wa Eac ni Samwel Sitta, na wala sio Bernard Membe.
 
Ni kweli umoja ni guvu, utengano ni udhaifu...lakini kumbuka wameshaanza kututenga kijiichake. pili, kuna aina mbali mbali za umoja, kuna umoja unaondwa kuangamiza wengine na kuna umoja unaoundwa kuokoa wote.. kumbuka Tanzania imejengwa kwa misingi ya ujamaa, pia Umoja na Amani.. na katika harakati zote tokea uhuru Tanzania imepinga uonevu iweje leo tukubali kuonewa tena hadharani. hamna haja ya kuwa na umoja usio na faida, ndio maana nikasema haki na uoja wetu tuelekeze katika Umoja wa Afrika.. ngoja nikupe mfano.. wewe unaedai wa mpakani.. mfano Uganda ikadai kagera ni yao utaipeleka kesi EAC.. hapo utaliwa maana wanaushirika wao.. Kenya ikisema Rombo ni yao utapeleka Kesi EAC.. kwa kura itakula kwako lakini ukiipeleka AU hai itapatikana zaidi..
Chadema ni chama changu Tanzania ni nchi yangu... tatizo lako ni uelewa finyu wa demokrasia. na chadema kama ilivyo ccm , cuf , tlp ncccr tunawajibu wa kujenga nchi sio chama...
namuheshimu sana MH sitta , sijamtaja maana, ukiuwa EAC na wizara yake inakwenda na maji ndio maana sijamtaja.. pia angalia hii wizara na michango kwenye huu umoja, na pia wizara ni kubebesha wa TZ mzigo wa kodi.. nimetaja Nimemtaja Membe maana hiyo wizara ya Sitta ingefaa kuwa dawati kwenye ofisi ya Mambo ya njee..
hii haitakuwa mara ya kwanza EAC kuvunjika, hivyo ya pili sitashangaa...
mwisho asante sana, mimi nitamchumbia dada yako, nitamuoa , utakuwa shemeji yangu na kisha nitajenga nitaijenga nchi ya Afrika, ndoto ya wapigania uhuru, ndoto watumwa.. Ubarikiwe Mheshimiwa
 
Last edited by a moderator:
Mh Membe,
mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza. ni heri tukajitoa kwa sababu zifuatazo tukiwa wakwanza kuondoka hatutakula hasara sana, tukichelewa muungano utavunjika na hasara itakuwa kubwa zaidi.
pili, kama kuna jambo lolote linahusu ushirikiano linaweza kujadiliwa Umoja wa Afrika, ambako kutakuwa na usawa zaidi wa watanzania kupata haki yao.. tatu, viongozi wote walioko kwenye EAC ni wakiukwaji wa haki za kibinadamu, ( wote tunajua h historia ya kagame, kenyata na Kaguta).. kama tuna kiu ya ushirikiano sana tunaweza kushurikiana na Burundi na Kongo ambako tayari tumeshatuma vijana kusawazisha Amani duru ya taifa letu.
na nne hatuwezi kushuhudia ofisi yetu kuu( ikulu ikidhalilishwa) na watu amba tumewasaidia kwa jasho letu ( tumesuluhisha kenya, tumeikomboa UG toka kwa nguli amini, Rwanda Baba yetu wataifa alipotezea mda wake wa kustaafu kutafuta suluhu.. licha ya wakimbizi) alafu tucheke nao...
mwisho kabisa mimi kama kijana wa chadema, naunga kauli ya mwenyekiti (mbowe), 'mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni' rais wetu Kiwekwete kaonyesha hekima kutojibiza na samaki wanaotapatapa..yeye ni action tuu wanamuonea ccn.. dongee limewakaba.. maskini yule jamaa wa, I'll hit you' kama umemmcheki fresh kazeeka... sijui tumpasishie kikombe cha babu wa loliondo... asante nawasilisha
Prof Kisantilitedi

Kwanza kabisa Ndugu KIJANA wa CHADEMA -- TANZANIA hata siku MOJA haijawa kuwa MWANACHAMA wa ECOWAS (ECOWAS ni Muungano wa KIUCHUMI wa NCHI za Afrika Magharibi eg NIGERIA; GHANA etc) kwahiyo haitawezekana

Pili;Tanzania pia ni Wanachama WA SADCC sio lazima wakimbilie UMOJA wa AFICA 9AU)

Tatu: POLITICS ni DIPLOMACY... Sasa kama Rais wetu hata weza kumjibu Rais wa nchi yoyote KIDIPLOMASIA kuhusu issue yoyote iwe ya KISIASA; KIBIASHARA; KIUCHUMI; KIUTAWALA then atakuwa na Mapungufu... Sababu ukimya huo utadhihirisha jinsi UONGOZI wetu ULIVYO na DOSARI; UNYONGE; UFINYU wa MAELEWA

Nne; Kumbuka kuwa - VITA vya UGANDA kiongozi wa NCHI ya TANZANIA hakuwa huyu wa Sasa yaani Jakaya Kikwete; Tulikuwa na Uongozi Bora Shupavu wenye kujua Diplomasia - Kwahiyo Usilinganisha Madaraka ya Ungwe Moja na Ungwe Nyingine na kusema ni kitu kimoja...

Kuhusu Usuluhishi wa HALI huko KENYA; Kulikuwa na sababu mbalimbali ambazo lazima AMANI lazima ingejadiliwa na kukubaliwa; Sababu ya viongozi hao kufikia MWISHO wa Masuala yao.

Kama ni RAIS wa TAIFA na MPENDA AMANI ni FURSA kujibu chochote NCHI zinazoonyesha kutokuwa na IMANI na NCHI yetu kujibiwa KIDIPLOMASIA... As you know by what is going in this WORLD - ALL WAR REPRESENTS A FAILURE OF DIPLOMACY
 
Asante sana, @nngu07
1)Nilirekebisha kwenye comment, nilipitiwa tuu,, ni Comesa.
2) ndio sadc ni washirika wetu muhimu lakini majirani zetu sio wote wako Sadc Hivyo kubaki SADC na AU ni vema kwa TZ
3) kweli Politcs ni diplomasia, na wakati mwingine diplomacia inakuwa kwenye wakati mgumu.. Kwanza Rais wetu ameonyesha umahiri na udhoefu wake katika diplomasia ndio maana nilimpongeza.. kitendo cha yeye kutoa maoni yake ni mazuri kabisa tena kwa kidiplomacia na kwenye sehemu husika.. lakini wenzie sio wanadiplomacia. wanatolea maneno kwenye vichochoro, tena wanajifungia jikoni kupika ya kwao.. wale sio wana diplomasia.. wale ni wakiukwaji wa haki za binadamu yule jaji wa ufaransa alisema Kagame anastaili kujibu mashtika, kenyatta anayake na kaguta unajua yake. hivyo sioni haja ya kushirkiana nao.. diplomasy is god but strategy is better.. tujiondoe tuwekeze kwenye umoja wa afrika na Sadc... kujiondoa EAC haimaanishi kusitisha ushirikiano na hizo nchi.. ila ni salamu tosha kwa strategies zao wanazopika jikoni na kulia chini ya uvungu... unafikiria Kikwete akipigwa ni watz ni watz wote tutakuwa watumwa wa Rwanda.
4) lakini bado serekali ni ile ile ya CCM ni viongozi tuu wamebadilika..Nyerere alitambua kuwa sio wakati wote diplomasia inafanya kazi ndio maana umoja ulivunjika.. na ndio maana alitumia nguvu Majeshi diplomasia iliposhindwa. historia hujirudia lakini binadamu hatujifunzi.. mazingira ya Kikwete na ya Nyerere ni tafauti..hatuna haja ya kurudi tena nyuma kwenye vita.. cha msingi ni kuuutupilia mbali huu umoja.. tuheshimihane tuu kama nchi.. na majirani.. lakini umoja ulijazwa na waviziaji haukubaliki.
Ni kweli tunapenda Amani.. na wamekula matunda ya amani yetu.. sasa wanapoanza kusema I'll hit you hiyo ni vita ya maneno.. kikwete akjibizana na mshenzi itatokea vita.. ili kuepuka shari ni kunyamza.. wangekuwa wanatoa hoja Kikwete asingekwepa jukumu la kuwajibu hoja.. lakini kawaziri kanathubutu kumuita 'mediocre' huyo unataka ajibiwe nini..'ukishidnana na mjinga utakuwa_____'
Asante sana kwa kuchangia uzi hu
 
ile statement ya kumtaja Kikwete imekaa kichochezi sana pia. Kuna chumvi sana kwenye ile statement kiasi kwamba hata mimi ningekuwa kikwete ningenyamaza. Kikwete ana madhaifu mengi sana kama Kiongozi mkuu wa nchi, lakini hili la Rwanda binafsi nampongeza handling yake. It is the one thing amefanya sawa katika machache sana ambayo kafanya sawa. Kwa hiyo nakuunga mkono.

jengine ambalo ningependa kuongezea hapo ni hili. kwamba Paul Kagame hatabaki kuwa rais wa Rwanda milele. yapo mazuri kaifanyia nchi yake, lakini binafsi namwona kavimbishwa kichwa sana na sifa anajihesabu ni kijimungu mtu. Rwanda itapata kiongozi mwingine eventually na matumaini ya Kenyata kucontrol Rwanda kwa mikataba yake na Kagame inaweza kuwa mashakani in the long run.

Strategically, ishu kubwa hapa wala si Rwanda. Ishu kubwa hapa ni Uganda! That is what we need to be thinking about the most.Uganda anawaza nini? Can Uganda be in the same pot with Kenya? for what and for how long? hii ndo hasa issue ya kuiwazia sana. Kenya anatafuta regional relevance kupitia Uganda na South Sudan. South Sudan ipo mbali sana nasi, kwa hiyo issue hasa ni Uganda. Hii takataka inaitwa Rwanda (hili neno takataka ni la Kagame peke yake)achana nayo.... Uganda ndiyo issue hapa.
 
Mh Membe,
Mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza.

Ni heri tukajitoa kwa sababu zifuatazo tukiwa wakwanza kuondoka hatutakula hasara sana, tukichelewa muungano utavunjika na hasara itakuwa kubwa zaidi. Pili, kama kuna jambo lolote linahusu ushirikiano linaweza kujadiliwa Umoja wa Afrika, ambako kutakuwa na usawa zaidi wa watanzania kupata haki yao.. Tatu, viongozi wote walioko kwenye EAC ni wakiukwaji wa haki za kibinadamu, ( wote tunajua h historia ya kagame, kenyata na Kaguta).. kama tuna kiu ya ushirikiano sana tunaweza kushurikiana na Burundi na Kongo ambako tayari tumeshatuma vijana kusawazisha Amani duru ya taifa letu.

Na nne hatuwezi kushuhudia ofisi yetu kuu( ikulu ikidhalilishwa) na watu amba tumewasaidia kwa jasho letu ( tumesuluhisha kenya, tumeikomboa UG toka kwa nguli amini, Rwanda Baba yetu wataifa alipotezea mda wake wa kustaafu kutafuta suluhu.. licha ya wakimbizi) alafu tucheke nao... Mwisho kabisa mimi kama kijana wa CHADEMA, naunga kauli ya mwenyekiti (Mbowe), 'mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni' rais wetu Kikwete kaonyesha hekima kutojibiza na samaki wanaotapatapa..yeye ni action tuu wanamuonea CCM.. dongee limewakaba.. maskini yule jamaa wa, I'll hit you' kama umemmcheki fresh kazeeka... sijui tumpasishie kikombe cha babu wa loliondo... asante nawasilisha
Prof Kisantilitedi
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania
 
nyie amjui umuhimu wa africa mashariki bora mnyamaza. waulizen wafanyabiashara walioko kwenye mikoa inayopakana pia waulizen wanafunzi mtajua faida zake.
 
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania

ha ha ha ha.... i like this; underlying meaning ni nzito sana. nimeipenda sana hii...
 
Huu ni udhaifu wa Bwana dhaifu na serikali yake kushindwa kusimamia baadhi ya vitu nyeti katika hii jumuiya matokeo yake amejiingiza kwenye migogoro isiyo na tija na kupelekea kuharibu fursa za kibiashara kati yetu.
Nna imani kiongozi ajaye atarekebisha hili.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania

:A S thumbs_down: It is easier to forgive an enemy than to forgive a friend...#Pathetic
 
Back
Top Bottom