Mh. Mdee vipi mbona kimya hatukuoni Kawe?

M.Kwidohya

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
61
Reaction score
7
Ni kipindi kirefu toka tumchague mh mdee kuwa mbunge wetu wa kawe bt linapo kuja jambo la kuonekana sasa hapo ndio shida,Kama mi hapa nilipo sijawai kumuona mbunge wetu toka kuchaguliwa adi sasa kila tumwambiapo anasema mara yupo mkoa mara sijui what sasa nini tofauti ya chadema na ccm mh jimboni kunashida kibao umeme mdogo barabara mh mdee unazingua sana lini utakuja kuongea na sisi wapga kula wako hupo busy na mambo ya watu wengine yako huku yamekushinda...chadema tupo wengi na majembe yapo ya kutosha kawe,mbezi kote hko kachonjo dada,bsi ata kwenye tawi unashindwa kuja au paka wakati ufike wa kula?
 
Miongoni mwa majembe yangu ndani ya CDM , kwa ushauri tu uongozi ili upiganie na kutatua kero za maeneo yake si lazima mumuone MPIGIE SIMU, MUANDIKIE WARAKA, MFUATE ALIPO mueelezee matatizo yenu, ambayo ni mapya. kwani jembe hilo linayajua mengi. na nakuhakikishia si mroho wa madaraka akiwepo mtu sahihi na mwenye uwezo wa kuiongoza kawe zaidi yake atampisha lkn haki yake tumpe amefanya na anafanya mengi big up H. MDEE.
 
utaambulia matusi tu hapa ndugu, hao huwa hawakosolewi humu JF.
 
Ni kipindi kirefu toka tumchague mh mdee kuwa mbunge wetu wa kawe bt linapo kuja jambo la kuonekana sasa hapo ndio shida,Kama mi hapa nilipo sijawai kumuona mbunge wetu toka kuchaguliwa adi sasa kila tumwambiapo anasema mara yupo mkoa mara sijui what sasa nini tofauti ya chadema na ccm mh jimboni kunashida kibao umeme mdogo barabara mh mdee unazingua sana lini utakuja kuongea na sisi wapga kula wako hupo busy na mambo ya watu wengine yako huku yamekushinda...chadema tupo wengi na majembe yapo ya kutosha kawe,mbezi kote hko kachonjo dada,bsi ata kwenye tawi unashindwa kuja au paka wakati ufike wa kula?
Wapo waliomchagua sidhani kama wewe ni mmoja wao.
 
Mbunge wangu uwa namuona kwenye TV tu.
 
Mbunge wa chadema ni mbunge wa kitaifa katika mapambano haya ya ukombozi hivyo usijisikie vibaya anaposaidia harakati sehemu nyingine ulichotakiwa ni kumpa moyo na ushirikiano kwani hata utendaji wao ni mgumu kuna mikingamo mingi na hila wanazofanyiwa na magamba.Na uelewe hata ukiipata wewe hiyo nafasi ni lazima kijasho cha mchakamcha kikutoke.
 
Sasa ndio ata kwenye ofisi za tawi aji tukiwa na mikutano uliza mtu yoyote wa chadema kawe atakupa habari yake...
 
Wapo waliomchagua sidhani kama wewe ni mmoja wao.
usipende kudandia mambo ya sio kuhusu tafakari kwanza hiyo 4 yako uliopata utapeleka wapi ndio uchangie mada hapa sio kijiweni dogo unalopoka tu stupid
 
Nilitaka nikujibu ila hii post yako imenionyesha ur mediocrity!

Usiku mwema.:yo:
 
Ni kipindi kirefu toka tumchague mh mdee kuwa mbunge wetu wa kawe bt linapo kuja jambo la kuonekana sasa hapo ndio shida,Kama mi hapa nilipo sijawai kumuona mbunge wetu toka kuchaguliwa adi sasa kila tumwambiapo anasema mara yupo mkoa mara sijui what sasa nini tofauti ya chadema na ccm mh jimboni kunashida kibao umeme mdogo barabara mh mdee unazingua sana lini utakuja kuongea na sisi wapga kula wako hupo busy na mambo ya watu wengine yako huku yamekushinda...chadema tupo wengi na majembe yapo ya kutosha kawe,mbezi kote hko kachonjo dada,bsi ata kwenye tawi unashindwa kuja au paka wakati ufike wa kula?

......janga la TAIFA..LIVE!!
 
usipende kudandia mambo ya sio kuhusu tafakari kwanza hiyo 4 yako uliopata utapeleka wapi ndio uchangie mada hapa sio kijiweni dogo unalopoka tu stupid
Pole sana naona ukweli umekuuma. Husirudie tena kuandika matapishi humu. Mtu mzima hovyooo!
 
Ni kipindi kirefu toka tumchague mh mdee kuwa mbunge wetu wa kawe bt linapo kuja jambo la kuonekana sasa hapo ndio shida,Kama mi hapa nilipo sijawai kumuona mbunge wetu toka kuchaguliwa adi sasa ...chadema tupo wengi na majembe yapo ya kutosha kawe,mbezi kote hko kachonjo dada,bsi ata kwenye tawi unashindwa kuja au paka wakati ufike wa kula?

hivi wabunge wengine huwa wanaonekana au wanawatembelea kila mpiga kura wake au ni huyu tu unataka kumchosha? wewe ungeweza kujihudhurisha kwa kila mmoja? kwetu sisi kuna mabadiliko, kama kwako bado yawakilishe, nafikiri sio rahisi akafanya mambo yote kwa wakati mmoja. punguza manung'uniko, elezea shida yako na nafiki ataipa kipaumbele
 
Nenda ile saluni pale mkwajuni utamkuta na shoga yake wa ccm

Back
Top Bottom