yawezekana kweli cdm humu jf hawapendi chama chao na viongozi wao kukosolewa.lakini hata ukosoaji wenyewe hauna mashiko.tujifunze kuwalaumu wabunge kwa kushindwa kutekeleza yale waliyoahidi kuliko kupenda kuwaona machoni.sidhani kama ktk ahadi za mdee kuna moja inayosema ataonekana mara kwa mara.kunanjia nyingi za kutekeleza ahadi hata kama mb yuko nje ya jimbo.kwani we kama mpiga kura ungechagua nini kati yakuonana nambunge au mbunge kutekeleza aliyoahidi?other wise unataka kupiganaye picha.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.