Mh. Mamvi Punguza Maigizo

Mh. Mamvi Punguza Maigizo

Ataachaje kuigiza filamu zake zinagombewa kama njugu sokoni?pengine hata ww na mm ni waangliaji wa zuri wa filamu hizo.
 
Sasa wewe ndo unaleta maigizo mbona sizioni?
 
Ukiona humpendi achana habari zke ukikutana na habari yeyote yenye jina la lowassa teleza na cm yako,
 
Ujasiri Wa Edo ... ! Unamtisha Hata Yeye Mwenyewe. Ujasiri Wa Fisadi Mkuu .. Si ruhusu Kukata tamaa .. Go Edo .. Go Edo . The end is just nearby.
 
Bado hajafika huku kwetu tunamsubiri kumdhamini
 
Duh!! yaani mamvi amejitahidi kukaba kila sehemu na huku kwenye mitandao ameajiri vijana wengi kweli kwani ukianzisha tu thread inayomuhusu mamvi wanaishambulia kweli kweli lakini kinachosikitisha hawafuatilii kauli za Nape kwani ameseme atajitahidi kuhamasisha vijana na kuhakikisha kiongozi anayetaka uongozi kwa kununua watu hapewi nafasi ndani ya CCM
 
Atakuja tu ccm inataka wadhamini 450 yeye atapeleka 750 ndio hao wanaambiwa jibu maswali 4 kati ya 10 yeye anajibu yote 10 ramadhani akiwa Na wadhamini wengi ndio atapitishwa?
 
Bora achukua nchi tu watu wafanye kazi coz kila mtu now yupo likizo.
 
Back
Top Bottom