Makonda pamoja na mapungufu yake lakini kuna wakati huwa anatoa kauli ngumu zenye ukweli ndani yake ambazo sisi waafrika kutokana na kuzaliwa wanafki huwa hatuwezi kuziongea mbele za watu.
Huyo kibwengo Pierre is a talent-less, unfunny, fake, alcoholic midget full of nonsense. Huwezi kumlinganisha na marehemu Mzee Majuto, mfano. Hapawsi kabisa kupewa promo kwenye jamii sababu ni mpuuzi.
Walevi mishipa inawatoka lkn angalau mmekubali ni mlevi, na ukweli unabakia sehemu kubwa ya jamii ya Kitanzania haiwezi kuvumilia kuona mlevi akitumiwa kutangaza bidhaa yoyote ya maana labda vyoo vya Mchina. Ucheshi gani hadi aji "boost" kwanza ndiyo aanze vitimbi vyake vya kilevi levi.