Hii ni hatari kwa mazingira yetu
Mazingira ni nini?
Moja wapo ya kitengo cha mazingira ni utunzaji wa misitu
Mkaa bora inatoka kwenye misitu ya asili
Misitu ya asili ndio vyanzo vya maji na kuvuta mvua
Mh. January Makamba,,,, Kuweka sheria tu haitoshi...Weka Nishatiu Mbadala
Hata hao maaskari watapikia mkaa maana gesi ni ghali (Au maaskari watakula chakula kibichi)
Makamba peleka hoja kwenye Baraza la Mawaziri.......Gesi ishuke bei....reduce tax or even subsdize gas
Nimechagua Makamba maana Maghembe tayari ni Mzee
Umeme:
Umeme unategemea maji...Sasa kama maji yakipungua mtera sababu ni nini? Upungufu wa mvua
Sasa Muhongo hawezi kuconnect dots kuwa kukata miti kutakausha mabwawa?
Maana Jangwa huleta ukame?