Mh.Lukuvi marufuku ya kujenga bila kupima ni sawa na la kufunga ndoa bila cheti cha kuzaliwa

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
244
Hakika Mawaziri wetu wanakuwa kama wageni wa Tanzania.Alichokizungumza Waziri Lukuvi juzi wakati wa Bajeti ya Wizara yake kimenishangaza sana kwani asilimia kubwa ya Tanzania haijapimwa ukianzia Na Dar es salaam yalipo makao makuu ya Wizara yake karibu robo tatu ya eneo halijapimwa Watalaamu wa wizara wapo , watalaamu wa halmashauri zote wapo Chuo Kikuu cha Ardhi na Makampuni binafsi ya Upimaji yapo lakini imeshindikana.

Waziri anaujua uwezo wa Halmashauri zetu. Waziri anajua uwezo wa watanzania kulipia gharama za upimaji kuwa in Mdogo je wananchi wasubiri Serikali ipime ndio wajenge? Je Serikali INA uwezo gani wa Kupima nchi nzima?Tamko la Lukuvi Galina tofauti Na la Mwakyembe Juu kufunga ndoa bila Vyeti vya kuzaliwa.
 
Huu ndo ukweli hebu tujitaidi kuwa real.
Pia, huwa naonaga watu wanajisifu au wanatamba wamejenga nyumba zenye thamani ya kutosha tu ila kwenye maeneo yasiyopimwa.
Huwa siwaelewi sana kwnn unajenga eneo ambalo halijapimwa?
Wengine wanadhani kujenga ni kila kitu ila ukijenga pasipopimwa si kitu zaidi ya stress
 
Mkuu umeongea point tupu, halmashauri nzima unakuta ina-surveyor mmoja.
 
Huku kwetu zimetapakaa stop nyumba kibao zimepigwa chapa ya stop!
Kisa wanajenga Bila kibali
 
Mkuu umeongea point tupu, halmashauri nzima unakuta ina-surveyor mmoja.
Hili ndilo tatizo la awamu hii. Kweli kujenga bila kibali ni tatizo lakini wao hawatupi majibu kwanini Wizara yake imeshindwa na inaendelea kushindwa kupima maeneo yakiwemo ndani ya jiji la Dar es Salaam? Na pale kulikopimwa, ni kitu gani kifanye bei itofautiane wakati mwingine hata 3 times?

CCM is not here for the solutions, rather? they are part of all these problems.
 
Angetoa pia ufumbuzi wa "uzembe wa wizara yake" kutopima maeneo ya makazi ili awe na uhalali wa kulaumu/kusema hivyo.
 
Ingekuwa marufuku kwa Halmashauri zote kukosa viwanja vilivyopimwa vinasubiri wateja. Kuna Halmashauri zinapitisha mwaka hazina mradi wowote wa viwanja!!! Watu wajenge juu ya nyumba zingine?
 
Hoja ya Lukuvi ni nzuri mno.... tatizo lipo kwenye utekelezaji wake...

hakuna wizara ya hovyo na ya kikale kama ya ardhi, i mean it.

Ardhi ina watu wenye akili njaa sana, kama vile hawalipwi...
cha muhimu maswala ya viwanja na matumiz yake yarudi ngazi ya chini kabisa ya mtaa, serikali iww ina verify tu kwenye system zake.....
mambo ya mannua yamepitwa na wakat zamani sana....
 
Huu ndo ukweli hebu tujitaidi kuwa real.
Pia, huwa naonaga watu wanajisifu au wanatamba wamejenga nyumba zenye thamani ya kutosha tu ila kwenye maeneo yasiyopimwa.
Huwa siwaelewi sana kwnn unajenga eneo ambalo halijapimwa?
Wengine wanadhani kujenga ni kila kitu ila ukijenga pasipopimwa si kitu zaidi ya stress
Kwa serikali hii haya yanayoongewa ni ndoto. watu wa ardhi ni Wafalme wanapenda rushwa aibu. hali sio nzuri. tumieni watendaji wa vi jiji kutoa maelekezo ya ujangaji ili walao kuwe na line na mitaa.

Twende kwa kuangalia uhalisia.
 
Back
Top Bottom