Mh.Lowassa na Isaya 41:10

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Basi,usiogope,mimi nipo pamoja nawe.Usifadhaike,mimi ni Mungu wako.Nitakuimarisha na kukusaidia,nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi.Mwisho.
Hata wale ambao tutafuta kazi tusomeni mstari huu.
 
yaani ni kweli lowassa anapaswa kumshukuru mungu mara saba sabini kwani tangu walipokuwa pm hadi sasa amepata maadui wengi ambao wamekuwa wakimuwinda usiku na mchana ili tu wamwangamize kisiasa,hata ripoti ya richmond ilikuwa ni mkakati kama huu wa kugivua gamba eti kwa maadai ya ufisadi wa watu 2,hivi ni mikataba mingaji ina kasoro na haina maslahi kwa taifa lakini husikii watufatilia
,iptl,songas, agereko ,meremeta etc,ndio lile swali tena linarudi je ccm mafisadi ni wawili tu?na je mkataba wa richmond tu
Ndio ulipaswa kuangaliwa?

O
 
Back
Top Bottom