Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

Lusinde nim2 wa system tangu sikunyingi. Kwann watu hawa(usalama wa taifa)wamekuwa wakifanya mambo hovyohovyo? Kwa ufupi namfahamu hivyo mengine siyajui.
 

khaaa kuhangaika kote kwa vyama,kunamaanisha nini?
 
Lusinde nim2 wa system tangu sikunyingi. Kwann watu hawa(usalama wa taifa)wamekuwa wakifanya mambo hovyohovyo? Kwa ufupi namfahamu hivyo mengine siyajui.

If this is true, he is a disgrace to the intel community. Now I know why we are very poor. I hope baada ya CCM kutolewa madarakani kunahitajika mageuzi makubwa sana ya mfumo wetu. You cant have bogus heads in intelligence community hata kama ni frontliner - 'sniff dog', lazima awe na brain ya kujua harufu na maana yake, maana wakipeleka taarifa za uongo wanaweza fanya watu wakatoa maamuzi ya ku-press button na kusabisha maafa makubwa kwa Taifa.
 

baada ya miaka ishirini ndo effects zake zitadhihirika kwa wengi.
 
Kama Cv ya Lusinde ndo imeishia hapo basi CCM ndo inaaga na si ajabu hata kina Maji marefu wanapitishwa kugombea ubunge na CCM na si ajabu Lusinde anabehave zaidi ya mwendawazimu.
 
[TABLE="class: cms_table_grid, width: 500"]
[TR]
[TD="align: center"]CHADEMA[/TD]
[TD="align: center"]Member - National Executive Board[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kumbe alipotoka CDM ndo akahamia CCM, basi tumeshajua wapi alikojifunza yale anayopractise!
 
Huyu akili yake,ngoja niirudie hotuba tena jwa mara nyingine!
 

Mkuu EMT,

Kumbuka walioenda pale hawakujua kuwa huyu "CHOO CHA CITY" ataporomosha matusi, kwa hiyo sidhani wao kama kwa kwenda pale walifanya makosa kama walikuwa ni mashabiki wa CCM kweli.

Pia kulikuwa na watoto ambao yeye CHOO CHA CITY ilimpasa ajue kabla ya kuanza kutoa harufu chafu ya matusi.
 

Mkuu, tatizo kubwa la Watanzania ni Elimu na hasa ubora wa Elimu ya kuwapa upeo na confidence ya kuchuja mambo na kuamua, Elimu ni janga la kitaifa na kama katika miaka 5 inayokuja hali haitabdailika, then nchi hii itakuwa na kikundi kidogo cha waliosoma na wajuaje huku wakiwaongoza wengi wasiojua.

hata hivyo sijui Lusinde yuko katika kundi gani.
 
Mnamwandama kwa sababu ni Muislaam.............. Wagalatia bana.

Haaaa haaa Mzee wa Sikonge leo umenifurahisha sana. Isije ikawa umetekwa na Malaria Sugu . . .

Livingstone Joseph Lusinge inawezekana akawa ni Mwislamu maana jina si lazima liwe ni hatimiliki au liashirie dini fulani.

Lakini kwa matusi haya yenye harufu mbaya ya kama CHOO CHA CITY najua hata Waislamu tutamkana.
 


Na bado Mtikila anamburuza mahakamani kwa madai kuwa katiba imenajisiwa kwa kuwa hana akili timamu na katiba imezuia wasio na akili timamu wagombee uongozi. Na kama akili yake ni timamu basi aelezee umma na wanae aliowazaa ilikuwaje akatukana?
 


Mkuu sijaona clip ambayo kiongozi yeyote wa CCM au Chadema wanatukana zaidi ya tuhuma na vijembe vya hapa na pale na mafumbo. matusi ya wazi tena mfululizo ni Mbunge wa Mtera tu aliyefuzu.
 

Mkuu uko sawa kabisa.

Watanzania tunasubiri baada ya kufanya tathmini ya uchaguzi huu, watatuambia nini Watanzania kwa matusi aliyoyatoa CHOO CHA CITY?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…