Hivi kikwekte pamoja na kuiba kura na kupewa urais, baado ana hofu gani na chadema?
ccm wametumia mbinu zote chafu ktk vitabu wakati wa uchaguzi, bado hawajaridhika, na sasa wanawanyima wananchi haki ya kukukutana na kuongea na wawakilishi wao! This is going too far na inaonyesha wazi yanayosemwa kwamba , ccm wao wapo kwa ajili ya masilahi ya utawala tuu, hawajali wananchi wanataka nini! It's pathetic, wanazidi kujichimbia mashimo.
Hivi hawa watu huwa hawana watu wa kuwashauri, hii nayo ni strategy ya namna gani kama si ujinga, wanadhani watazuia hiyo mikutano hadi lini? naona nia yao ni kutaka wananchi waanzishe fujo.