Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Na Hospital ya mama na watoto aliyosema anaijenga kabla ya mwaka 2013...ujenzi umeshaanza?
 
Mulize Gaundance Lymo mliyeshikisha kwa Nguvu Halimashauri ya Jiji la Arusha.. Mburula..
 
Umeandkika ukiwa kwenye shughuli za MSALANI inaeleweka. Vipi ahadi ya fastJet, Dhaifu, Dr. Dr. Dr. Dr. JK na CCM juu ya maisha bora kwa kila Mtanzania?

Kwahiyo hizo ahadi za Bw.Lema zilishatekelezwa sio? Mbona mnajitia uchizi hivi? Jitambueni sasa!
 
Mulize Gaundance Lymo mliyeshikisha kwa Nguvu Halimashauri ya Jiji la Arusha.. Mburula..

Lyimo anamzuia mbunge kutekeleza ahadi zake? hii mpya sasa! Mbunge kachaguliwa kihalali na wananchi kwahiyo yupo kwa mujibu wa sheria, Na Meya Lyimo kachaguliwa kihalali na madiwani kwahiyo naye yuko pale kisheria. Endeleeni kudanganywa na Lema. Mbona ile Bungalow kule Njiro Meya hakumzuia kujenga?
 
Fedha za maendeleo ya wananchi mnapeleka uswis yeye afanyeje,wambie magamba wenzako (a.k.a manyan'gau) warudishe hizo fedha msifikiri watanzania tumesahau tunawasubiri kwenye box la kura hata kama ni uchaguzi mdogo.
 
Lema hana uwezo wa kuleta maendeleo jimboni arusha, yeye ni bingwa wa uharibifu kwa fujo na maandamano..hamna kitu pale, ni makelele tu..
 
Lema hana uwezo wa kuleta maendeleo jimboni arusha, yeye ni bingwa wa uharibifu kwa fujo na maandamano..hamna kitu pale, ni makelele tu..

Eti alisema, jiji likiwa chafu, yeye ataongoza wananchi kuzoa taka zote na kwenda kuzimwaga ofisini kwa mkuu wa mkoa. akili ya mbunge hiyo!!
 
muulize kwanza baba liz ahadi zake ziko wapi nchi hii (meli ya kisasa bukoba ) maana ndie mwenye kodi za wananchi.
 
Fedha za maendeleo ya wananchi mnapeleka uswis yeye afanyeje,wambie magamba wenzako (a.k.a manyan'gau) warudishe hizo fedha msifikiri watanzania tumesahau tunawasubiri kwenye box la kura hata kama ni uchaguzi mdogo.

Na fedha za Mfuko wa Jimbo LEMA anafanyia nini?
 
Na Hospital ya mama na watoto aliyosema anaijenga kabla ya mwaka 2013...ujenzi umeshaanza?

Inaekea huyu ni Mama Mjamzito au ni Mama anaye tegemea kupata ujauzito kwahiyo anaulizia Hospitali ya Kujifungulia kama jamaa alivyoulizia Meli apate ajira ya Ubaharia.
 
Inaekea huyu ni Mama Mjamzito au ni Mama anaye tegemea kupata ujauzito kwahiyo anaulizia Hospitali ya Kujifungulia kama jamaa alivyoulizia Meli apate ajira ya Ubaharia.

Ndio mi mjamzito, haya, Taja Hospital iko wapi? acheni kujitoa fahamu enyi vijana. Kijana inatakiwa ujitambue, sio kila mwanasiasa kwa ajili ni wa chadema akiongea kitu unakiamini 100 %!!!
 
Ndio mi mjamzito

nasikia kuna msemo wa wahenga eti 'ukiona mama mjamzito anatema-tema mate ujue kichanga cha tumboni kimejamba'. endelea kutema mate mama, sisi tushajua ni kwa nini.
 
nasikia kuna msemo wa wahenga eti 'ukiona mama mjamzito anatema-tema mate ujue kichanga cha tumboni kimejamba'. endelea kutema mate mama, sisi tushajua ni kwa nini.

Chadema na Matusi ni kama samaki na maji! Hamna utamaduni wa kushirikisha ubongo. Mmebakia ushabiki tu!
 
Anasubiri jk ajenge kila manispaa ya dat,apeleke meli kubwa maziwa yote na ageuze kigoma kuwa dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…