Mh Kingwangala, hii suti hatari

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
20170925_084817.jpg

Vaa ya wanasiasa wetu ina athari katika muonekano wa nchi socially.

Nimeiona picha hii kwenye gazeti la Guardian pg 13, 25/9/2017.

Hii suti mchinjo ni kwa vijana kama kina Diamond, haionekani kuwa executive.

Sijui, naweza kuwa nimekosea!
 
Labda hapo anatafuta mchumba, boss wake anasema hakwenda pale kutafuta mchumba
 
Kosa la personal secretary na private secretary, ni wajibu wao kumshauri bosi nguo ya kuvaa kuliko hata ilivyowajibu kwa mume/mke wa bosi! watumbuliwe tu hao hakuna namna.:D
 
Back
Top Bottom