Na ndio maana nchi yetu iko nyuma kiuchumi kwani wanao hujumu uchumi wa nchi ni viongozi wenyewe. Mulongo akamatwe na kushtakiwa.
Na ndio maana nchi yetu iko nyuma kiuchumi kwani wanao hujumu uchumi wa nchi ni viongozi wenyewe. Mulongo akamatwe na kushtakiwa.
Jamani kuna wanachi wanauwawa huko Manyara na maafisa wanyamapori in the name of ujangili...
while i support majangili kushughulikiwa, nina wasiwasi kwamba hii kitu inakua abused, na majangili halisi (kama hao waarabu) wamekua mitaji ya wakubwa wa polisi
Ukisikia majanga ndiyo haya sasa polisi wamekuwaje tena wakibainika ni vema sheria itembee juu ya migongo yao.
Mkuu na wewe wa hovyo kweli yani unaandika kama unaongea hujaeleweka hata chembe jipange tena.Kesi za ujangili wa Arusha zinaendeshewa maeneo mengine kwa sababu kuna "mkubwa" mmoja aliyepewa nyota zetu na magwanda yetu anahusika kuwatetea na hata kuwatorosha. Wasaudi arabia waliotoroshwa ana..... "Tutawachukulia hatua, hata yeye tutawachukulia hatua"
RPC Arusha kuchukuliwa
hatua baada ya kuhusika kuwatorosha majangili raia wewenye asili ya
kiarabu mapema baada ya kukamatwa wakihusika na ujangili.
Hii ni kwa mujibu wa Waziri Wa maliasilia na Utalii alipoongea na vyombo
vya habari leo hii.
Mh. Kagasheki amesema kuwa RPC huyo alihusika moja kwa moja kuwatorosha
majangili hao ambapo aliwarudihia passport na kusaidia kuwapa mbinu za
namna ya kutoroka nchini baada ya yeye kuruhusu waachiwe baada ya
kukamaatwa.
Source: Clouds F-Taarifa ya habari saa 12 jioni!