Mkuu ni kweli kasema alikuwa anakemea mapepo, wabunge wake walicheka sana. Nadhani alikuwa anajisafisha baada ya jana kuanikwa na mapaparazi wa mwananchi.
Sasa nimejua ukweli makada wa ccm wenye vitambi wote wanafikiri kwa kutumia vitambi vyao. chukua anayoongea Tambwe Hiza na leo John Komba utaupata ukweli.