Mh. January makamba

Smart amefanya kitu gani hasa cha maana? ana IQ ya ngapi?
<br />
Abdulhalim, kuwa smart sio lazima ufanye kitu cha maana cha kuonekanika, kitendo tuu cha kuwa speech writer wa JK kinatosha kujustify his abilities na capabilities zake.
 
Jamani wengi wenu mmemfahamu January baada tu ya kuanza kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi 2010. Nimemfahamu January kuanzia 1980s akiwa mwanafunzi wa Sekondari pale Galanos, Tanga! Huyu dogo ametulia na ana vision!
Inawezekana baba yake ndiye alichangia kuharibu nyota ya mwanawe, maana angepewa uwaziri maneno mengi yangesemwa' mbaya zaidi kuna ile kashfa kwenye Facebook kama mlikuwa mnafuatilia...ambayo yule mama wa kimarekani alifikia hatua ya kutishia kuishitaki serikali ya CCM na kumzuia JM kutokukanyaga USA kama angepewa uwaziri!! Hili nalo lilichangia sana, JK aliona mbali! Kwa hili dogo aliteleza, alidhani kutumia fake profile name asingejulikana...so chombo kikaenda mrama, alkini laikosea kiubionadamu!!
Kwa mtazamo wangu ataiwakilisha vizuri sana Bumbuli, he is still young, apate uzoefu wa kisisasa kama Mbunge kwanza, then 2015 anapata Wizara...kama kweli CCM wana nia ya kumjenga awe kiongozi mzuri basi watafuata haya!!

Kwa madai kwamba ni cha-pombe sidhani kama itasumbua kwenye utendaji wake...mbona Mkapa, Malecela, Warioba, Kapuya...etc wote walikuwa watu wa masanga?
Good luck January......
 
Huyu Jan. Makamba hana lolote zaidi ya uswahili
jyfranca, ukitoa tuhuma bila kuijustify inageuka majungu. Uswahili ni hulka ya watu wa uswahilini, ila sio wote waishio uswahilini, wana hulka ya uswahili, sambamba na waswahili ni nani, ni watu wote wa pwani ndio waswahili, lakini pia sio watu wote wa pwani ambao ni waswahili wanatabia za kiswahili, wako watu wa pwani ambao hawana uswahili, sambamba na wabara wenye uswahili. Kwa wanamfahamu huyu kijana, hana uswahili wowote, unless unamkumu kwa ajili ya jina lake la ubini!.
 
Kiranga, tukubali au tukatae, the guy is smart upstairs, japo enzi hizo akiwa Morogoro kabla Baba hajahamishiwa Kigoma kuwa RC, kijana alikuwa na issue yake fulani sensetive, ila kwa vile aliajiriwa foreign then Ikulu, verting itakuwa ilishamclear kitambo.

Hili la kurudi au kutorudi Bumbuli 2015 ni majungu tuu kwa sababu determinant factor ni performance yake kama mbunge, nothing more, nothing less.
Talk of smartness; even the former member of parliament from Ludewa, Prof. Mwalyosi is very smart upstairs!!
 
<br />
Abdulhalim, kuwa smart sio lazima ufanye kitu cha maana cha kuonekanika, kitendo tuu cha kuwa speech writer wa JK kinatosha kujustify his abilities na capabilities zake.

Heh! kumbe zile pumba anazosomaga Kikwete zinaandikwa na huyo bwana!, and you still call him smart?
 
jyfranca, ukitoa tuhuma bila kuijustify inageuka majungu. Uswahili ni hulka ya watu wa uswahilini, ila sio wote waishio uswahilini, wana hulka ya uswahili, sambamba na waswahili ni nani, ni watu wote wa pwani ndio waswahili, lakini pia sio watu wote wa pwani ambao ni waswahili wanatabia za kiswahili, wako watu wa pwani ambao hawana uswahili, sambamba na wabara wenye uswahili. Kwa wanamfahamu huyu kijana, hana uswahili wowote, unless unamkumu kwa ajili ya jina lake la ubini!.
yamekua hayo... umesahau ulipokua unamtetea yule mama wa kizungu aainst Mengi sio? kwahiyo wewe pia ni majungu?

Wewe nawe wewe... heeee, kuna kitu ngoja nikasome nikuelewe vizuri

nice week dude
 
Kiranga, tukubali au tukatae, the guy is smart upstairs, japo enzi hizo akiwa Morogoro kabla Baba hajahamishiwa Kigoma kuwa RC, kijana alikuwa na issue yake fulani sensetive, ila kwa vile aliajiriwa foreign then Ikulu, verting itakuwa ilishamclear kitambo.

Hili la kurudi au kutorudi Bumbuli 2015 ni majungu tuu kwa sababu determinant factor ni performance yake kama mbunge, nothing more, nothing less.
oopps Pasco

Nimeshindwa kukuelewa kabisa hapa, did you contradict yourself? or just trying to show how much you know about him? or maybe you dont know what you want to say??

BTW, smart upstairs?? una maana gani tena hapo?
 
Heh! kumbe zile pumba anazosomaga Kikwete zinaandikwa na huyo bwana!, and you still call him smart?
huyo jamaa ndio wale wanaosema jamaa anaosha viatu vya Jk, he must be the best shoe shiner alive in Tz

Nasikitika kupata feelings kwamba Pasco sometimes anakua mtu wa kubabaikia certain callibers simply because of perception and that would be very dangerous in a good world, too good to him, we aint living in that world
 
Jamani wengi wenu mmemfahamu January baada tu ya kuanza kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi 2010. Nimemfahamu January kuanzia 1980s akiwa mwanafunzi wa Sekondari pale Galanos, Tanga! Huyu dogo ametulia na ana vision!
Inawezekana baba yake ndiye alichangia kuharibu nyota ya mwanawe, maana angepewa uwaziri maneno mengi yangesemwa' mbaya zaidi kuna ile kashfa kwenye Facebook kama mlikuwa mnafuatilia...ambayo yule mama wa kimarekani alifikia hatua ya kutishia kuishitaki serikali ya CCM na kumzuia JM kutokukanyaga USA kama angepewa uwaziri!! Hili nalo lilichangia sana, JK aliona mbali! Kwa hili dogo aliteleza, alidhani kutumia fake profile name asingejulikana...so chombo kikaenda mrama, alkini laikosea kiubionadamu!!
Kwa mtazamo wangu ataiwakilisha vizuri sana Bumbuli, he is still young, apate uzoefu wa kisisasa kama Mbunge kwanza, then 2015 anapata Wizara...kama kweli CCM wana nia ya kumjenga awe kiongozi mzuri basi watafuata haya!!

Kwa madai kwamba ni cha-pombe sidhani kama itasumbua kwenye utendaji wake...mbona Mkapa, Malecela, Warioba, Kapuya...etc wote walikuwa watu wa masanga?
Good luck January......

Kweli usilolijua ni usiku wa kiza, kisa cha kuzalia watoto Marekani ni nin? Hakuna mikakati ya kukwamua watoto wa wadanganyika kimaisha, kielimu wala kiafya. Watoto na wajukuu wa 'vigogo' ni raia wa nchi zilizoendelea wana uhakika wa elimu bora na maisha bora, wakirudi wanaingizwa kwenye 'mtandao' it is a vicious cycle. Hawa ndio wanauchungu na Bumbuli kalaga bao:redfaces:
 
Unafumbua watu macho,acha wenye kusikia na wasikie
 
<br />
Abdulhalim, kuwa smart sio lazima ufanye kitu cha maana cha kuonekanika, kitendo tuu cha kuwa speech writer wa JK kinatosha kujustify his abilities na capabilities zake.
Unaposema fulani ni smart bila kutaja sababu ya msingi basi sie wengine itabidi tukuhoji. Huezi ukasema mtu ni smart wakati hajafanya kitu chochote peculiar chenye manufaa, and vice versa. Otherwise its better to stay put, kuliko kuonekana groupie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom