Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

images

Huyu juu ndiye Idd Azan

zunguu.jpg

Mussa Azan Zungu

Hii jina la Zungu alilipataje? kuna anayejua history yake kiundani?
 
kweli Jamiiforums ni nyumba ya ukweli , nilikua mmoja wa waliohitaji ushahidi kipindi hii post inaruka, nilimtaka mtoa mada aje aseme nasi nini anajua kuhusu janga la huyu mwanasiasa mpotofu na mwenye kiu ya damu !
ukweli utakuweka huru na ukweli hujisimamia, leo yameanikwa kwa gharama za maisha ya vijana wa taifa letu .
 
EDUCATION
LOCATION
COURSE/DEGREE/AWARD
START DATE
END DATE
LEVEL
Dar City College
Diploma (Management)
2004
2005
DIPLOMA
Local Government Training Institute - Hombolo, Dodoma
Certificate
2003
2004
CERTIFICATE
Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)
Certificate
2002
2004
CERTIFICATE
Institute of Adult Education - Dar es Salaam
Secondary Education
2002
2003
SECONDARY
University Computer Centre
Certificate in Computer Course
2001
2001
CERTIFICATE
Magomeni Primary School
Primary Education
1977
1979
PRIMARY
Vuluni Primary School, Mombo
Primary Education
1973
1976
PRIMARY



Dah,
CV yake iko fresh sana,
Jamaa yuko smart sana,
Kweli wasomi tunao taifa hili...
 
Ishakuwa taabu haya tusubiri na Masogange naye labda atataja wengine au atatuandikia barua wa Tanzania kujua yanayojiri alianzaje na maana twategemea ataelezea alihama vipi toka Magomeni kwenda Sinza
 
Ritz, Lukosi, Thatha na wengine huwa hamuishi kumsakama Lema kwa tuhuma za uhalifu ingawa hamna ushahidi.
Leo kuna kitu kinafanana na ushahidi humu......kikimhusisha Mbunge wenu Iddi Azzan na pia chama chenu na serikali yenu.

Ni muhimu mngekuja huku na kuonesha rangi zenu bandugu!

mkuu kwan tangu thread ime anzishwa umewaona pro ccm humu hata mmoja??wao utawaona kwenye thread zao za kuwatukana makamanda tu,kama wanaujasir waje hapa.
 
Ni mweupe ati?
Zungu ni karadi wa Kijerumani na Mswahili........

Ilipoanzia thread hii ilipuuzwa, miaka mitatu baadaye ukweli unaanza kujurikana, hata huyu dogo Ridhiwani naye ni swala la muda tu ngoja mshuwa atoke pale Magogoni mtaniambia, hii post itagongewa like nyingi sana miaka si mingi ijayo.
 
"Game Theory, post: 833546, member: 275"]Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO

Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it
NDESAMBURO awezi kushika nafasi iyo apa Tanzania. Kuna watu zaidi ya 100 wanaomzidi pesa
 
Back
Top Bottom