Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Pembezoni tu mwa uwanja wa mpira wa miguu wa Shule ya Msingi ya Ushindi,iliyopo Mikocheni B, kuna ujenzi unaendelea.Ujenzi husika unaonyesha kuwa ni wa 'fremu' za biashara. Inavyoonekana,eneo la Shule ya Msingi niliyoitaja limevamiwa. Na hata uwanja wa mpira umebanwa kwelikweli.
Je, Mh. Halima Mdee,Mbunge wa Kawe,unajua lolote kuhusu suala hili?
Je, Mh. Halima Mdee,Mbunge wa Kawe,unajua lolote kuhusu suala hili?