Mh.Halima Mdee,hili unalijua?

Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,484
2,000
Pembezoni tu mwa uwanja wa mpira wa miguu wa Shule ya Msingi ya Ushindi,iliyopo Mikocheni B, kuna ujenzi unaendelea.Ujenzi husika unaonyesha kuwa ni wa 'fremu' za biashara. Inavyoonekana,eneo la Shule ya Msingi niliyoitaja limevamiwa. Na hata uwanja wa mpira umebanwa kwelikweli.

Je, Mh. Halima Mdee,Mbunge wa Kawe,unajua lolote kuhusu suala hili?
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195

Sijui kama ni mimi ndiyo nachanganyikiwa, lakini naona siku hizi Halima kuna kitu hakiko sawa. Huyu dada spidi yake imepungua sana na amekuwa mpole kama siyo yeye. Sijui tatizo ni nini!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
20,492
2,000
Halima kimbia, mchwa wameshavamia hao - ukoo wa panya upo kazini -- okoa shule fasta!!!
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,395
2,000
Halima atalishughulikia haraka sana, coz ndo kiongozi tuliyemchagua na kulinda kura zetu
 
mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
sijui kama ni mimi ndiyo nachanganyikiwa, lakini naona siku hizi halima kuna kitu hakiko sawa. Huyu dada spidi yake imepungua sana na amekuwa mpole kama siyo yeye. Sijui tatizo ni nini!

au ni kundi la zito nini maana unachosema kweli tupu mkuu elly
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Sijui kama ni mimi ndiyo nachanganyikiwa, lakini naona siku hizi Halima kuna kitu hakiko sawa. Huyu dada spidi yake imepungua sana na amekuwa mpole kama siyo yeye. Sijui tatizo ni nini!

Keshanunuliwa kama wakina mwepesi si bure
 
msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,751
2,000
Vzr umeleta taarifa naamini ameiona ila nakushauri km unaweza kumpata diwani au m/kiti wa serikali za mtaa wa eneo hilo nadhani haraka majibu yatapatikana.
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
ameleta taarifa Jf sehemu ambayo imekuwa ni chanzo cha taarifa kwa viongozi wengi. haya nenda kamalizie homework uliyopewa na mwalimu wako wa darasa la pili "b". upeo wako ni mdogo sana kuwepo humu

watu kama nyie ndio unifanya na mimi niipinge rasimu ya pili ya katiba kama ma-ccm. watu wenye upeo mdogo wanahaki sawa na mathinkers.
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,431
2,000
Keshanunuliwa kama wakina mwepesi si bure

Sijui ndugu yangu. Ila Zito ndiye aliyemshawishi kuingia kwenye siasa. Ingawa kuamua kufanya mengineyo inaweza kuwa uamuzi binafsi pia.

au ni kundi la zito nini maana unachosema kweli tupu mkuu elly

Halima hana muda na shida zenu karagabaho..............

Halima kwisha kazi. Hana lolote

Ndugu wana JF wenzangu;

Tukiwa na mawazo mgando kwa kuchanganya SIASA na MAENDELEO tutakuwa tunakosea.

suala la Elimu linawagusa watu wa itikadi zote, kwani pale shuleni wanasoma watoto wetu sote. Tunapofikia kupokea taarifa kama hii na sisi kuijadili kisiasa hapo tunakuwa hatujatatua tatizo bali tunalilea na kuendelea kubakia tulipo pasipo upiga hatua.

Suala kama hili wanapaswa kulijua uongozi wa shule na kamati zake, Serikali za mtaa husika na ofisa Elimu kata husika.

Mbunge hawawezi kufuatulia hadi mambo ambayo yana majibu kwa kamati ya shule na uongozi wa mtaa!!!!

Endapo kama tukiliangalia jambo hili kisiasa; kwamba kwa sababu anayefanya jambo hili labda ni mfuasi wa CCM - hivyo sisi wa CCM tunamtetea (Hapo tunakosea)

Endapo kama pia tukiliangalia kwa kuwa anayefanya hivi ni wa CDM au chama changu - Hivyo sisi wenye chama hicho pia tunamtetea - (Hapo tunakosea)

Yatubidi kuwa wazalendo na kuweka itikadi pembeni tunapofika katika suala linalogusa maendeleo ya eneo letu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Nakubaliana na wewe, except mimi nimemuongelea Halima generally, jinsi alivyo siku hizi na siyo in relation to ujenzi unaoendelea pale maeneo ya shule.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom