Mh.Halima Mdee,hili unalijua?

Umeileta hii habari hapa kwa mtindo wa swali.

Sasa unategemea nani akujibu? Umeshindwa kumpata huyo Halima umwulize hilo swali lako?

Mkuu,JF ni chanzo cha habari kinachoaminika Tanzania. Na Halima Mdee ni mwanachama humu. Atalipata swali na kulijibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom