Hivi jamani bado kuna mtu makini anaetegemea source of information kutoka habari leo na uhuru, come on guys u must be out of ur mind. Anyway kwaherini miminawahi kwenye mazishi ya yule mchawi mfuga majini wa pale mwembe chai.
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.
Hawajamfukia tu?
Wamwahishe mapema ikiwezekana akatupwe mto Ruaha awe halali ya Mamba. Mkuu naomba unijuze japo kwa PM yatakayokua yanaendelea hapo msibani...
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.
Kwani kwa wewe Mwana CCM kikifa si ahueni kwako? Au kinyume chake? Halafu Jesuit bwana, Uhuru na Habari Leo nayo ni magazeti? na leo ni Jumamosi ofisi za serikali hazifunguliwi so hakuna atakayenunuaCdm msipomthibiti huyu lema atakiua chama kama si akili punguani watu wanaomboleza yeye anaenda kuhamasisha maandamano shame on you uongozi wote wa cdm
Makupa, hatua ambayo watanzania wamefikia ni mbaya kwa sababu ya uonevu unaofanywa na watawala. Watu wanauawa(na wewe kaa vizuri) bila sababu za msingi kila kukicha, hivi katika hali hii tutafanyaje kupingana na uonevu? Kuandamana na Kuzika ndiko kulikolipua nguvu ya umma Tunisia. Maandamano kama njia ya kuonyesha kutoridhika na hali sio kitu kibaya au unataka watu wasiandamane washike silaha kama Benghazi? Elewa kwamba na hiyo ni njia mbadala na nijuavyo ndugu zangu wa Tarime na sehemu za huko wanazo silaha nyingi tu na wanambinu za "Kijeshi" kuliko walibya wa Benghazi.Cdm msipomthibiti huyu lema atakiua chama kama si akili punguani watu wanaomboleza yeye anaenda kuhamasisha maandamano shame on you uongozi wote wa cdm
hata kama mkifanya hayo maandamano sidhani kama mnaweza kubadilisha chochote sana.sana mtawaongezea machungu wafiwaMakupa, hatua ambayo watanzania wamefikia ni mbaya kwa sababu ya uonevu unaofanywa na watawala. Watu wanauawa(na wewe kaa vizuri) bila sababu za msingi kila kukicha, hivi katika hali hii tutafanyaje kupingana na uonevu? Kuandamana na Kuzika ndiko kulikolipua nguvu ya umma Tunisia. Maandamano kama njia ya kuonyesha kutoridhika na hali sio kitu kibaya au unataka watu wasiandamane washike silaha kama Benghazi? Elewa kwamba na hiyo ni njia mbadala na nijuavyo ndugu zangu wa Tarime na sehemu za huko wanazo silaha nyingi tu na wanambinu za "Kijeshi" kuliko walibya wa Benghazi.
Uhuru ndiyo imeripoti hii habari
radio zote zimesoma hizo habari leo asubui hivyo umma wote una taarifa jioni tbc itaonyesha narudia tena kimbelembele cha lema kitaigarimu chademaKwani kwa wewe Mwana CCM kikifa si ahueni kwako? Au kinyume chake? Halafu Jesuit bwana, Uhuru na Habari Leo nayo ni magazeti? na leo ni Jumamosi ofisi za serikali hazifunguliwi so hakuna atakayenunua