habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Duu kweli huu ni wivu wa kike!
Sasa mnamwonea wivu kijana mdogo huyu Kingu basi sasa tutamshauri JK nawe akupe UDC maana inakuuma sana ndugu yangu!
Pole sana ndugu yangu!
kingu ni ngumi jiwe anawakimbiza ndio mana mnamtungia uongo
njoo tena useme hayaJf imevamiwa, watu hawana hoja wamebaki kulalanika tuu, tumebaki na taifa la walamishi
Huyu ni DC na kada wa CCM ambaye pia katabia ka ufisadi amekuwa nacho tangu akiwa chuoni pale mzumbe nakumbuka alivyokula pesa za serikali ya wanafunzi (MUSO) akiwa kama Vice President. Jamaa huyu ni hatari sana kwenye issue ya pesa. Kuwa kada wa CCM naona yupo uwanja wa nyumbani kabisa.
Elibariki Kingu nadhani bado humu hujasaini out! Mkuu kumbe na kuwalawiti unalawiti? usipomkemea huyu mjinga daah mitasikitika sanaKingu anapaswa kukuoa wewe kwani unamawivu hadi yanamwagika mtoto wa kile!
Nenda Igunga utakutana nae nitamwambia wee unatoa sana 713! Atakupokea kijana wake upate mini kabang bora kabisa!
mim naona kama Kingu anajitahidi sana naona sijui why jakaya kamtosa
Labda tuhuma zimethibitika kuwa za kweli na bila ajizi Porofesa Dakta JM Kikwete kamfanyia kweli.
Vipi Ngumi jiwe kapigwa chini tena au ulikuwa unaropoka kwaajili ya hivyo vibuku saba vya lumumbakingu ni ngumi jiwe anawakimbiza ndio mana mnamtungia uongo