- Thread starter
- #61
sera ya sisiemu, kata mti panda mti inafanya kazi.... mwizi katolewa kaingizwa mporomosha matusi na ngumi kwa wazee aka Makondo aka Makonde
Siku niliposema huyu jamaa ni mwizi na hata survive kwenye hiki cheo mlinitukana sana sasa leo njooni mtukane tena