Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
Patamu hapo. Kuna mengi tutayasikia. Uzuri wake at the end of the day magamba wooote wanapaswa wang'atuke.Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
Huyu mama umri wake siujui lakini nafikiri ana Meaupasal Syndrome,
Nani? Beatrice Shellukindo mpambanaji toka lini? Mpambanaji ambaye siku nyingi ni chanda na pete na Lowassa? Mpambanaji ambaye, bila aibu, anaendesha kampeni Bungeni kusema Lowassa ni chaguo la Mungu? Mpambanaji ambaye alimsindikiza Lowassa Nigeria kwa maombi maalum ya Urais?
Hafai, ni mnafiki tu wa kisiasa.Ukistaajabu ya Musa utayaona ya.............. Sikutegemea siku moja Sita atakuwa mtu kigeugeu kiasi hiki. Mwanzoni nilidhani hata akichukua form ya urais ningempa kura yangu lakini kwa sasa nasema sina hamu naye kabisa. Simuelewi anatetea serikali au anaunga mkono upinzani. Neno linasema Uwe moto au baridi, Ukiwa vugvugu nitakutema kinywani mwangu.
Bwana Fataki kama ukikumbuka vizuri bunge la tisa huyu mama alikua kambi moja na Sitta,Lembeli,Mwakyembe na wengine weng lakn kwa bunge hili la kumi ndio haswaaa uswahiba wake Lowassa unakua,so ipo hivyo Fataki tunaweka kumbukumbu sawasawaNani? Beatrice Shellukindo mpambanaji toka lini? Mpambanaji ambaye siku nyingi ni chanda na pete na Lowassa? Mpambanaji ambaye, bila aibu, anaendesha kampeni Bungeni kusema Lowassa ni chaguo la Mungu? Mpambanaji ambaye alimsindikiza Lowassa Nigeria kwa maombi maalum ya Urais?
Sio kwamba mamvi anakula mzigo?Nani? Beatrice Shellukindo mpambanaji toka lini? Mpambanaji ambaye siku nyingi ni chanda na pete na Lowassa? Mpambanaji ambaye, bila aibu, anaendesha kampeni Bungeni kusema Lowassa ni chaguo la Mungu? Mpambanaji ambaye alimsindikiza Lowassa Nigeria kwa maombi maalum ya Urais?
Ni kweli mkuu,yaan sita ni mnafki ambaye alikuwa na bado anayo ajenda yake ya siri.alichoongea Mh. Betrice Shelukindo kuhusu Sita niukweli mtupu aanze yeye kuwajibika kwakuwa swala la Richmond lilizimwa na Mh sita, sasa sahivi anageuka na kujifanya mzalendo kweli? huu ni usanii wa sita ambao utamfikisha pabaya. alijifanya anatetea chama kisidhalilike sasa ukweli unaanza kuwaumbua, walimkumbatia Lowassa na wenzake wakasahau ni sehemu ndogo sana katika taifa hili.
Hao wana bifu na Six. Pamoja na kuwa mamvi alishamrejesha Beatrice Shellukindo kwenye kundi lake la walafi lakini nanusa harufu ya uchonganishi kwenye hizo sourcesKatika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
Jibu hoja wewe au nape kakutuma nini? Watu tunajadili mambo ya msingi hapa wewe unaleta ushabiki wa kifisadi hapa?Huyu mama umri wake siujui lakini nafikiri ana Meaupasal Syndrome,
Hebu tuangalie dalili za akina mama wenye matatizo hayo
[FONT=AMKJLJ+TimesNewRoman] anxiety, headache, insomnia, irritability and worry about age and self, optimism and memory defect can be closely related to the menopausal syndrome. Other symptoms like decreased energy and drive, reduced power of concentration, irritability, nervous exhaustion, fluctuation in mood tension, depression, frustration and loneliness may result from life stresses. Fear of loss of youth, beauty and femininity may initiate these symptoms.[/FONT]