Oh my God, yaleyale aliyoyasema retired fisadi kuwa ccm imejaa siasa uchwara, hizi ndo zenyewe, je! maisha yamepanda ni kwao peke yao au hata madereva wamepandishiwa? vipi kuhusu wale walinzi wa usalama wa taifa, wamepandishiwa nao? nasikia wao hupewa 55000/= per day, du inatia huruma kishenzi.
Tujiulize na upande wapili wa shillingi, wanafunzi wa UDOM wao ni mifugo hata kupanda gharama za maisha kusiwagushe? mbona wao bado wakilalamika wanatumiwa polisi kuwatuliza, kama polisi wako fare basi wakawatulize na waheshimiwa juu ya hili maana madhara yake ni zaidi ya madai ya wanavyuo.
eti shelukindo kaulizwa kasema asilimia 300 ni kidogo mpaka mtangazaji kashangaa,anataka kufananisha eti we mtangazaji unalipwa bei gani huko ujerumani? hao ndio wabunge tulio nao
Kama posho zinaongezewa kwa sababu maisha Dodoma yamepanda, na je hao wanaoishi Dodoma miaka yote, "posho" na mishahara yao imepnda lini?
......dodoma si tanzania???? aiji akili kusema kwamba dodoma maisha yamepanda tena gafla hivyo waheshimiwa wabunge waongezewe posho, mbona mikoa mingine hali ni mbaya tena sana tu lakini hakuna serikali ilichokifanya zaidi ya kuleta porojo za kisiasa.
hii yote ni kutokana na uzembe wa unaosababishwa na serikali pamoja na vyombo vinavyo husika ku-regulate bei. Ina maana sasa hivi posho na mishahara itakuwa inatolewa ki-mkoa!!!. In reality gharama zinatofautiana kulingana na mkoa husika, linganisha maisha ya Arusha na Kigoma au Iringa ni tofauti kabisa lkn hakuna aliyekwisha lalamika!
Inakuaje sasa wa-Bunge, tena wengine kazi yao ni kupiga usingizi Bungeni waongezwe posho?????, WIZI MTUPU.
Inaweza kuwa ni tofauti ya lugha tu....kuna wale wanazungumza kulipwa kwa maana ya kuwa 'accrued' (katika lugha ya kihasibu) na wengine wanazungumzia kulipwa katika lugha ya kawaida(cash basis)! Otherwise sioni katika hali ya kawaida ni vipi kunaweza kuwa na tofauti katika suala ambalo by its nature ni very factual. Hawana hata soni?Sasa naanza kuwa na wasiwasi na usikivu wa masikio yangu kama si uelewa wangu, kwenye ile taarifa ya habari ya saa Mbili usiku ITV nilimwona na kumsikia huyu bibi Nanihii akitamka pamoja na mambo mengine kwamba hizi posho zilianza kulipwa kwenye mkutano ulioisha na kwamba Zitto Kabwe hakuweza kupewa kwasababu ya kanuni zinazotoa sifa ya kuzipata ni lazima Mbunge awe amesaini asubuhi na jioni wakati huo Zitto asingeweza kwani hakuwepo. Leo hii huyu Shelukundu anatwambia tofauti. Je tumwamini nani!
Tatizo la wabunge wa CCM wanatuona sisi ni wajinga kwa vile tumewapa kura, wanasahau kuwa inawezekana wao ni wajinga zaid yetu. Wanaongea bila kufikiri then neno likishawatoka ndo wanaanza kufikiria walichoongea. Mpaka sasa hatujui nani muongo na nani mkweli. Spika anasema aliwalipa wabunge posho mpya, wabunge wanasema hawajalipwa posho mpya vile Rais kakataa kuzipitisha. Kama ndivyo Makinda hizo hela alizolipa alipata wapi??? Kama Makinda anasema alilipa posho mpya na huyo shellukindo hakupata sa siaende akadai????Yani majitu maongo hayaachagi uongo hadi uzeeni, nachukia sana majitu maongo. Mana najua jitu likishakuwa ongo hilo hata umalaya linafanya. Ndugu zangu hili suala tuliache lipate oxygen tu majibu yatapatikana na haya majitu maongo tuyabaini tu siku si nyingi.Kama posho zinaongezewa kwa sababu maisha Dodoma yamepanda, na je hao wanaoishi Dodoma miaka yote, "posho" na mishahara yao imepnda lini?
Tatizo la wabunge wa CCM wanatuona sisi ni wajinga kwa vile tumewapa kura, wanasahau kuwa inawezekana wao ni wajinga zaid yetu. Wanaongea bila kufikiri then neno likishawatoka ndo wanaanza kufikiria walichoongea. Mpaka sasa hatujui nani muongo na nani mkweli. Spika anasema aliwalipa wabunge posho mpya, wabunge wanasema hawajalipwa posho mpya vile Rais kakataa kuzipitisha. Kama ndivyo Makinda hizo hela alizolipa alipata wapi??? Kama Makinda anasema alilipa posho mpya na huyo shellukindo hakupata sa siaende akadai????Yani majitu maongo hayaachagi uongo hadi uzeeni, nachukia sana majitu maongo. Mana najua jitu likishakuwa ongo hilo hata umalaya linafanya. Ndugu zangu hili suala tuliache lipate oxygen tu majibu yatapatikana na haya majitu maongo tuyabaini tu siku si nyingi.