Abdullah Mwinyi ailalamikia Vodacom kwa wizi wa Data, 50000 bila matumizi yeyote imeisha

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
10,043
16,929
Labda hawa viongozi wakisema tutasikilizwa ila kiukweli hii mitandao imekua ni kero.

Screenshot_20240520_063724_X.jpg
 
Jamaa ndo michezo yao tena kama unanunua hizi za buku 2 ndo wanavilamba fasta
 
😃😃😃😃.ilinikuta na tigo.nimenunua bando la 500 dakika 10 hazijqfika natumiwa meseji bando limescale.nikawapigia wakaniambia eti niangalie matumizi yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom