Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

Tareman

Member
Jun 3, 2019
53
33
Huu mtandao wa Vodacom kwa sasa naona umekuwa na system za kutuibia wateja wake kwenye upande wa salio la kawaida.

Nimekuwa na changamoto katika mtandao huo takribani miezi kadhaa yaani kila nikiweka salio wananikata Tsh 200/=, bila taarifa yoyote.

Nimewasiliana nao mara kadhaa lakini sijapata hitimisho, leo tarehe 17/08/2023 saa4 asubuhi hii ndio wamenikomesha baada ya kuweka Tsh 2000/=, wamekata Tsh 400/=•

Nikijaribu kuwasiliana nao wanasema tupigie baadae hiyo baadae wanasema system zetu bado hazipo sawa tupigie tena baadae, umekuwa ni usumbufu mkubwa mno.

Kwa kifupi hawa Vodacom wameniibia salio langu kwa muda mrefu mno, nimechoka na sihiitaji tena kuutumia huo mtandao ni wizi mtupu unaoendelea.

Chukueni Tahadhali.
 
Bora wewe 200 mi wamenila 600 mara mbili eti nadaiwa "nipige tafu"wakati sijawahi kopa tangu natumia simu.
Nikipiga naekewa maelezo ya compyuta yao wameseti alafu baada ya mda inakata yenyewe, yaani saa hivi sijiungi kwa simu umyanhu naenda kwa wakala ananiunga moja kwa moja.
 
Bora wewe 200 mi wamenila 600 mara mbili eti nadaiwa "nipige tafu"wakati sijawahi kopa tangu natumia simu.
Nikipiga naekewa maelezo ya compyuta yao wameseti alafu baada ya mda inakata yenyewe.yaani saa hivi sijiungi kwa simu umyanhu naenda kwa wakala ananiunga moja kwa moja .

Pole ndugu, kwa hali hii siwezi nahitaji kubadilisha mtandao, hivi Halotel wapoje kwenye Internet?
Voda sitaki tena kuwasikia
 
Huu mtandao wa Vodacom kwa sasa naona umekuwa na system za kutuibia wateja wake kwenye upande wa salio la kawaida.

Nimekuwa na changamoto katika mtandao huo takribani miezi kadhaa yaani kila nikiweka salio wananikata Tsh 200/=, bila taarifa yoyote.

Nimewasiliana nao mara kadhaa lakini sijapata hitimisho, leo tarehe 17/08/2023 saa4 asubuhi hii ndio wamenikomesha baada ya kuweka Tsh 2000/=, wamekata Tsh 400/=•

Nikijaribu kuwasiliana nao wanasema tupigie baadae hiyo baadae wanasema system zetu bado hazipo sawa tupigie tena baadae, umekuwa ni usumbufu mkubwa mno.

Kwa kifupi hawa Vodacom wameniibia salio langu kwa muda mrefu mno, nimechoka na sihiitaji tena kuutumia huo mtandao ni wizi mtupu unaoendelea.

Chukueni Tahadhali.
Hamieni tigo
 
Niliwahi weka 1000, najiunga wanasema salio halitosh, kuja kuchek wamelamba 200 imebaki 800, nkanunua m-pesa 200 nijazie, kuunga tena wanasema sina salio, kuchek kmbe na ile 800 wamechukua imebakia 200 nilotoa m pesa dah af n ucku, asubui nakuta na ile 200 haipo, kuwapigia eti nlijiunga cheka cheka hata cjui ni kitu gan, nkamwambia nitoe katika huduma zote, saiz najiunga kwa m pesa tu moja kwa moja bdo siwaamin
 
Kumbe wamezoea kutuibia wateja, mimi na wezi vitu viwili tofauti, namalizia MB zangu zikiisha naivunjilia mbali hiyo line yao
 
Pole ndugu, kwa hali hii siwezi nahitaji kubadilisha mtandao, hivi Halotel wapoje kwenye Internet?
Voda sitaki tena kuwasikia
Hao walikuwa mwanzo ofa kibao saa hivi wameshaona wateja wengi ofa wametoa na bando linaisha fasta
 
Niliwahi weka 1000, najiunga wanasema salio halitosh, kuja kuchek wamelamba 200 imebaki 800, nkanunua m-pesa 200 nijazie, kuunga tena wanasema sina salio, kuchek kmbe na ile 800 wamechukua imebakia 200 nilotoa m pesa dah af n ucku, asubui nakuta na ile 200 haipo, kuwapigia eti nlijiunga cheka cheka hata cjui ni kitu gan, nkamwambia nitoe katika huduma zote, saiz najiunga kwa m pesa tu moja kwa moja bdo siwaamin
Wanatabia ya kuwaunga wateja kwenye baadhi ya huduma zao bila ridhaa ya mteja mwenyewe.inaudhi sana na kuhalibu bajeti ya mtu
 
Sasa nihamie mtandao upi Tigo na Airtel hawana internet nzuri
Voda ukitaka kujiunga tumia ile menu ya *149*03# ndo uendelee na huduma unayotaka.
Ukitumia ile ya *147*01# hapo hapo wanakuunganishia huduma ya "nipige tafu"yaani ni wajanja wametegeshea.
Sa hivi najiu ga kwa wakala au moja kwa moja kupitia m.pesa huduma ya internet tupu .
 
Yani ni wizi wa wazi wazi🥲 mi nitakaa mbali nao wacha waendelee kuibia wengine
 
Voda ukitaka kujiunga tumia ile menu ya *149*03# ndo uendelee na huduma unayotaka.
Ukitumia ile ya *147*01# hapo hapo wanakuunganishia huduma ya "nipige tafu"yaani ni wajanja wametegeshea.
Sa hivi najiu ga kwa wakala au moja kwa moja kupitia m.pesa huduma ya internet tupu .
Hivi mamlaka husika zipo kimya kutuyetea pamoja na kureport sana wizi huu
 
Back
Top Bottom