Ronn M JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 1,279 Reaction score 684 Jun 14, 2012 #101 Kunta Kinte said: Ronn M pole , naona amekukatisha wakati tayari ulikuwa usha gain momentum!! Click to expand... ha ha ha not really! mwaJ knocked me out and as a gentleman what should u do? U boldly resign! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kunta Kinte said: Ronn M pole , naona amekukatisha wakati tayari ulikuwa usha gain momentum!! Click to expand... ha ha ha not really! mwaJ knocked me out and as a gentleman what should u do? U boldly resign!
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Jun 15, 2012 #102 Preta said: masharti yake naona bora nibaki huku..... Click to expand... Hahahahaaaa.. Umenichekesha sana. Uko sahihi sana ingawa kuna wakati hako kajitu kalioko life yangu na ya familia yangu hata ikaripotiwa na vyombo vya habari zamani kidogo. Wakati mwingine kanakuwa na kaumuhimu sana.
Preta said: masharti yake naona bora nibaki huku..... Click to expand... Hahahahaaaa.. Umenichekesha sana. Uko sahihi sana ingawa kuna wakati hako kajitu kalioko life yangu na ya familia yangu hata ikaripotiwa na vyombo vya habari zamani kidogo. Wakati mwingine kanakuwa na kaumuhimu sana.
Edoedward1 JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 795 Reaction score 311 Jun 22, 2012 #103 Preta said: inaelekea unapoishi hamheshimiani....... Click to expand... yah bongo hakuna heshima kama hapa hujaniheshimu
Preta said: inaelekea unapoishi hamheshimiani....... Click to expand... yah bongo hakuna heshima kama hapa hujaniheshimu
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 Jun 22, 2012 #104 Badu said: Wachaga wakimiliki hii kitu watu wataisha. Click to expand... Nidhamu tu
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Jun 22, 2012 #105 Preta said: aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....? yaani kama hiki hapa..... View attachment 56035 Click to expand... Matumizi ya hii yanatokana na mtu kuwa na uhusiano mbaya na Mungu wa kweli - Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo.
Preta said: aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....? yaani kama hiki hapa..... View attachment 56035 Click to expand... Matumizi ya hii yanatokana na mtu kuwa na uhusiano mbaya na Mungu wa kweli - Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo.
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Jun 30, 2012 #106 ivi kama nataka kumiliki mguu wa kuku kibongobongo utaratibu ukoje????
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Jun 30, 2012 #107 Miye hata panga sina.
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 139 Jun 30, 2012 #108 hee,better nicmiliki huo mguu wa kuku coz nitaanza na serikali nahasira nayo ww acha tu.