Mguu wangu wa kuku

aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?

yaani kama hiki hapa.....

Mm naogopa kesi, maana ninahasira za karibu sana.
 
Mimi hii kitu siwezi kukubali kuimiliki manake nitakuwa na kesi nyingi za mauaji, kwanza sipendi kudanganywa, na kwa hali ya nchi yetu hii uongo ulivyo mwingi, wengi naweza walisha misumari!!!!!
 
saint ivunga yaani hii kitu sitaki hata kuiona iskie tu rafiki. hiyo inatoa moto arifu na ukipiga kama huna nguvu unaweza kudondoka nayo kwa sababu ya ile firing force yake lol! staki hata kuiona
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kumuona aliyenayo ikamletea faida-wengi ninaowajua waliyopata ni matatizo tupu!!!

Mimi hii kitu siwezi kukubali kuimiliki manake nitakuwa na kesi nyingi za mauaji, kwanza sipendi kudanganywa, na kwa hali ya nchi yetu hii uongo ulivyo mwingi, wengi naweza walisha misumari!!!!!

saint ivunga yaani hii kitu sitaki hata kuiona iskie tu rafiki. hiyo inatoa moto arifu na ukipiga kama huna nguvu unaweza kudondoka nayo kwa sababu ya ile firing force yake lol! staki hata kuiona
si ndio maana unapimwa kwanza akili..sishauri mtu awe nayo hata hivyo
 
kumbe basi ninakidhi vigezo......
na je kama huyo anayenipima ndio hana akili timamu nitajuaje....? inatakiwa tupimane coz kila mtu ana kichaa chake.....
hahaa...unapimwa na madaktari
 
Yawezekana una mabinti wazuri sana sasa unatutishia tuu;kwa taarifa yako hatuogopi ng"oo nasi mbona tunazo kaka.
 
Yawezekana una mabinti wazuri sana sasa unatutishia tuu;kwa taarifa yako hatuogopi ng"oo nasi mbona tunazo kaka.
 
umeona eehhh....we Saint Ivuga hebu nieleze mchakato kwanzia mwanzo bana......kupimwa akili najua ni katikati ya mchakato.........

Preta kama kweli upo serious nenda kwenye kituo cha polisi watakupa maelekezo yote .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…